ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,056
- 2,850
Mtoto Happiness Ryoba ambaye alisafiri Zanzibar bila kuonekanika na wafanyakazi wa kiwanja cha ndege cha Dar es salaam ametoweka tena nyumbani kwao huko kijiji cha Mkokozi ,kata ya Vikindu.Mtoto huyo alikibadhiwa kwa mama yake Sarah Zephania hiyo jana kutoka ustawi wa jamii Zanzibar.
Kupotea kwake leo kumejulikana baada ya mama yake kuenda kuwapokea waandishi wa ITV barabarani na kumuacha Sarah peke yake nyumbani.
Baada ya mama kurudi kupokea wageni hakumkuta mwanaye nyumbani na kila akiwauliza majirani walimjibu hawakumuona Sarah.
Source:ITV
Wasio mjua huyu mtoto wafuatilie hizi thread:
Mtoto asafiri na ndege kutoka Dar hadi Zanzibar bila ticket
Mzazi wa mtoto aliyesafiri kwa ndege kwenda Zanzibar ajitokeza