mi naona wote wana makosa japo la yule mtoto halitakuwa kubwa sababu tu ya umri wake..kile kitabu ni cha jumuia!
Watoto hawana malezi toka kwa wazazi wao..
kikwete akatwe kichwa kwanza kabla ya huyo mtoto, kwa kuwa DHAIFU zaidi ya UDHAIFU!"Sharia" ya kukojoa kwenye msahafu ya Saudi Arabia ya mwaka 1712. Akipatikana na hatia, adhabu yake ni kukatwa kichwa
Vp wamechoma misikiti baada ya huyo dogo kukojolea hicho kitabu pemba?Msichanganye issue, kuna mtoto mmoja wa Pemba alikojolea Msaafu siku mbili kabla ya Mbagala... Kesi yake ipo Mahakamani huko Pemba!
mimi ni muislamu....kufikishwa mahakamani mtoto huyu si sahihi!
Kwahiyo nyie makafiri mnaopinga waislam kuonesha wamechukizwa hamuoni mna-udini mwoyoni mwenu,,acheni chuki za kijinga,,ingekojolewa 'BIBI-ANAELIA' mngesema ni kitabu cha jumuiya??
Ww Binadamu mbinguni au Jehanamu unapajua? au unahadithiwa tu km mapokeo?Kwahiyo nyie makafiri mnaopinga waislam kuonesha wamechukizwa hamuoni mna-udini mwoyoni mwenu,,acheni chuki za kijinga,,ingekojolewa 'BIBI-ANAELIA' mngesema ni kitabu cha jumuiya??
Kwahiyo nyie makafiri mnaopinga waislam kuonesha wamechukizwa hamuoni mna-udini mwoyoni mwenu,,acheni chuki za kijinga,,ingekojolewa 'BIBI-ANAELIA' mngesema ni kitabu cha jumuiya??
Magazetini wamesema umri wake miaka 14, yuko Form 1.hivi huyo mtoto ana miaka mingapi ?
hivi huyo mtoto ana miaka mingapi ?
Mkuu wangu Pure Number nakuhakikishia hata uinyee na kuichambia BIBILIA hakuna Mkristo ataandamana wala kutoa tamko maana kazi hiyo si ya mwanadamu bali Mungu mwenyewe, usihukumu maana utahukumiwa
Wewe nenda dukani kanunue BIBILIA na uichane mbele ya muuzaji ununue nyingi chana tena ataendelea kukuuzi tu maana hakuna mwenye mamlaka ya kukuhukumu zaidi ya mwenye BIBILIA sana sana atakuonea huruma na kukukumbuka wenye sala yake Mungu akusaidie
BIBILIA ni kitabu kama kitabu cha darasani au cha mapenzi au kitabu chochote kile,ni material imetengenezwa na binadamu kinacho matter ni neno la Mungu linaitwa BIBILIA na si Kitabu kilichoandikwa BIBILIA, na ndio ndio maana NENO LA BIBILIA hata ukichoma vitabu litabaki milele
Unajua ni makanisa mangapi yamechomwa moto Zanzibar? umewahi kusikia vurugu zozote toka kwa wakristo?
mmejaza video youtube mnaukashfu ukristo kwa title za waimba injili, umewahi kusikia wakristo wanacomplain na luleta fujo?
Mnakaa na vispika vyenu kutwa Yesu sio Mungu mitaani, umewahi kusikia wakristo wanafanya fujo wanakashfiwa Mungu wao?
Kashfa zote dhidi ya ukristo za mikanda ya video toka kenya na akina Ponda pamoja na radio imani na heri, umewahi kusikia mkristo kaandamana?
Kwa taarifa yako mlichofanya Mbagala kitaripotiwa Polisi tu kutimiza takwa la kisheria na the rest watu watapiga goti na kumlilia Mungu wao awasamehe na kuwapa hekima maana hamjui mtendalo
Kwahiyo nyie makafiri mnaopinga waislam kuonesha wamechukizwa hamuoni mna-udini mwoyoni mwenu,,acheni chuki za kijinga,,ingekojolewa 'BIBI-ANAELIA' mngesema ni kitabu cha jumuiya??