Mtoto aliyekojolea msaafu kortini...

Nadhani sasa wakati umefika kwa waislam na wakristo (dini kuu Tz) wakiwakilishwa na viongozi wao wakae pamoja na kuweka mikataba ya kuheshimiana na kuvumiliana (kutohujumiana, kutodhulumiana, kutoshambuliana). Hapo zamani paliweza kufanyika mikataba kama hii (mwanzoni mwa kipindi cha Mtume wa mwisho wa Waislam) huko Hudaibiya ili kutunza amani na utulive. Angalizo ni kwamba siasa zisipewe nafasi katika kushughulikia masuala ya dini. Wanasiasa wamefanikiwa kuwateka viongozi wa dini sasa hawawezi kusimama katika haki. Ukristo na Uislam umekuwa chombo cha kuwaingiza mafisadi ktk madaraka na kuwaacha waumini wa kweli wakibaki masikini milele. Pia wenzanguni tambueni kuwa CCM si Uislam wala CHADEMA si Ukristo. Wanaojua historia watanisaidia hapa. Bali CCM hutumia mkakati wake wa kuwakandamiza wanyonge kisha wakiwahadaa waislam masikini kuwa CHADEMA itaeneza Ukristo. Pia baadhi ya wakristo wakereketwa wasiingie ktk mtego huu na kudhani kuwa chadema yao pekee. Mimi siungi mkono vurugu kama za Mbagala kwani ni kinyume na mafundisho ya dini. Mf. Wakati wa Mtume (SAW) mtu mmoja aliingia msikitini na kukojoa, baadhi ya watu walitaka kumpiga, Mtume aliwaambia wamwache hadi amalize mkojo, kisha aliwaambia wanafunzi wake wamwagie maji pale alipokojolea; baadaye alimwita yule mtu na kumwelimisha, akasilimu na kuwa muislamu.
 
Msichanganye issue, kuna mtoto mmoja wa Pemba alikojolea Msaafu siku mbili kabla ya Mbagala... Kesi yake ipo Mahakamani huko Pemba!

Ebanaeeeeeeh! Hata huko wanaitia kojo, astaghfirulahh! Kwani inafananaje mpaka inawatia hamu ya kukojolea? Kwanza ni aina gani ya mkojo manake imekuwa utata sasa?
 
Ni vyema kuheshimu imani za wengine.

Hili swala limefanywa na mtoto, na kufanywa na mtoto hali bebi uhalali kuwa si kosa!
Hivyo atapewa adhabu kama minor. Na kuna jela za watoto na pia kuna adhabu mbadala.

Kosa ni kosa haijalishi lime fanywa na nani!
 
Wakuu nasikiliza BBC,kuna taarifa kua aliyekojolea msaafu amefikishwa mahakamani.Swali langu,tunaomba pia tupate taarifa,je waliharibu magari na makanisha wamefikishwa wapi?Sheria ni sheria ile pande zote.Mwenye taarifa please
 
Nasikiliza BBC jioni hii,kuna taarifa kua mtoto aliyekojolea Msaafu amefikishwa mahakamani.Swali langu je waliharibu magari na makanisa,nao wamefikishwa wapi?Tunaomba mwenye taarifa please atujuze
 
Double standards hizi! TZ imekuwa dola la kiislam eeeeh!
Dibagula aliwakashifu wakiristo kuwa Yesu sio mungu,waislam waliandamana,mahakama ya rufaa ilikaa siku ya j2 ikamwachia dibagula.
Hyuo mtoto akifungwa patachimbika,Liwalo na liwe.
 
Liwalo na liwe! Haogopwi mtu hapa. Kwanza, Kikwete na Kova walipe fidia kwa makanisa yote yaliyochomwa. Kama mbwai mbwai tu!
 
Nasikiliza BBC jioni hii,kuna taarifa kua mtoto aliyekojolea Msaafu amefikishwa mahakamani.Swali langu je waliharibu magari na makanisa,nao wamefikishwa wapi?Tunaomba mwenye taarifa please atujuze
usijali!sisi tuko juu ya sheria,na hao mlio waweka mapumzikoni tunaenda kuwa chukua ijumaa baada ya swala ya alsiri,tena kwa maandamano makubwa haijapata kutokea!!!
 
usijali!sisi tuko juu ya sheria,na hao mlio waweka mapumzikoni tunaenda kuwa chukua ijumaa baada ya swala ya alsiri,tena kwa maandamano makubwa haijapata kutokea!!!

Siku hiyo ndiyo mtajua kuwa nini ni uzao haram!
 
Nasikiliza BBC jioni
hii,kuna taarifa kua mtoto aliyekojolea Msaafu amefikishwa
mahakamani.Swali langu je waliharibu magari na makanisa,nao wamefikishwa
wapi?Tunaomba mwenye taarifa please atujuze

ch 10 imetangaza kufikishwa mahakamani watu 17 kwa vurugu hizo za mbagala.
 
usijali!sisi tuko juu ya sheria,na hao mlio waweka mapumzikoni tunaenda kuwa chukua ijumaa baada ya swala ya alsiri,tena kwa maandamano makubwa haijapata kutokea!!!

.....kule Philipino "Abu Sayaf" wale wapiganaji wa Kiislaam, jana wameingia mkataba wa amani na serikali hiyo kuwapa utawala wao wa ndani katika eneo lao linalokaliwa na Waislaam ! Vita vyao hata M'marekani ameshiriki sana kuisaidia serikali.
Hatimae Uislaam umeshinda ! .......Takbiiir ! Allah'u Akbar !
 
Sio aliyekojelea,ila ni wale waliokamatwa kutokana na ushiriki wao kwenye fujo na uharibufu na wizi uliojitokeza wakati wa maandamano ya mbagala
source:bbc through star tv
 
Wakuu nasikiliza BBC,kuna taarifa kua aliyekojolea msaafu amefikishwa mahakamani.Swali langu,tunaomba pia tupate taarifa,je waliharibu magari na makanisha wamefikishwa wapi?Sheria ni sheria ile pande zote.Mwenye taarifa please

Umekuwa biased mpaka taarifa ume ipokea kinyume!
 
Hapa kuna ajenda nyuma ya kukojolea msahafau, hivi zanzibar nako msahafu umekojolewa? hivi mombasa nako ni hivyo? tusome alama za nyakati, bundi anazungukia Afgrika Mashariki jamani.......hapa inatafutwa entry point tu........tazama yule wa Bagamoyo, tazama sakata la jana pale Taifa...........nguvu ya fwedha inatumika sana kurejea historia ya Jihad.....
 
Nataka kujua umri wa mtoto kwanza ndo naweza kutoa maoni yaliyonyooka
Wanasema alikuwa na miaka 14,mimi ambacho sijaelewa hivi awa watu wanatumia akili gani?mtu mzima ,baba mwenye familia anayeelewa nini watoto ufanya yuko busy kuandamana na kuchoma makanisa heti kisa mtoto wa miaka 14,hivi kweli huyu ni mzazi na ana akili timamu?mangapi maovu binadamu huyafanya kwa kisingizio cha dini?baba mzima na mindevu unaandamana kulaani mtoto wa miaka 14?is this not insanity?hivi kama huyo anayeandamana akisikia mwanae kaonekana akila kiti moto kijiweni atamnyonga mwanae au atamkanya?
Kingine ambacho naomba wataalamu wa sheria mnifumbue macho ni
1. Je kukojolea msaafu ni kosa gani la jinai kwa mujibu wa sheria za nchi hii?imo kwenye penal code?au penal decree?
2.Je aliyemshawishi mwenzake akojolee msahafu si na yeye ni accomplice kwenye kosa lililotendeka?kama kweli ni kosa la jinai kwanini na yeye asishitakiwe?
3.Je mtoto wa miaka 14 anaweza kushitakiwa kwa kosa la jinai?
Naomba wataalamu wa sheria humu jamvini mnisaidie kwa hayo machache.
 
Wanasema alikuwa na miaka 14,mimi ambacho sijaelewa hivi awa watu wanatumia akili gani?mtu mzima ,baba mwenye familia anayeelewa nini watoto ufanya yuko busy kuandamana na kuchoma makanisa heti kisa mtoto wa miaka 14,hivi kweli huyu ni mzazi na ana akili timamu?mangapi maovu binadamu huyafanya kwa kisingizio cha dini?baba mzima na mindevu unaandamana kulaani mtoto wa miaka 14?is this not insanity?hivi kama huyo anayeandamana akisikia mwanae kaonekana akila kiti moto kijiweni atamnyonga
 
Back
Top Bottom