Mtoto Aliyejifungua Mtoto

Mtoto Aliyejifungua Mtoto

Duh!
Huyo jamaa anyongwe mara tatu mpaka afe.


Hukumu zenu ni kuua tu hamna jingine?? Jamaa kaleta kiumbe hai duniani wewe wasema auliwe?? Ili hicho kitoto kipotee kisiwepo duniani au?? Acha ujinga kabisa. Mpe ushauri namna ya kukabiliana na hali hii ya wakubwa na utoto wao.
 
Kama ningekuwa mimi ndio mzazi wake nisingekubali. Ningefanya mpango niitoe hiyo mimba. Hii kitu inaumiza...

Nimechukia sana. Arrggghhhh
 
Aliyelala nae mpaka kumpa mimba anadhambi sana...
 
Back
Top Bottom