Mtoto alipoharibu

umeleta nusu story malazia ilkuwaje mara tu mtoto alapo mkumbatia baba..vipi mke wa ndo.alisemaje?
Mbona niliendelea hapo juu, mama pressure ilipanda, ilibidi Peter apeleke familia nyumbani, mama baada ya kutulia alitafuta namba ya shost kutoka kwenye simu ya mume wake, alimpigia na kumfahamisha maumivu yake.
 
sister pole na yaliyokupata mwisho wa mwaka,Kiualisia hata wewe uliogopa kidogo kukutana na mke mwenzio,ila nawapenda watu kama nyie maana mnasaidia sana ,Kiukweli wewe ni kipepeo
 
sister pole na yaliyokupata mwisho wa mwaka,Kiualisia hata wewe uliogopa kidogo kukutana na mke mwenzio,ila nawapenda watu kama nyie maana mnasaidia sana ,Kiukweli wewe ni kipepeo
Mimi hayajanipata mkuu, haya ni majanga ya shost, mimi hapa ni poster master wa hii habari tu.
 
Kwkuwa mimi nidady yake ndiomaana kapita watu wote kaja kuniita mimi dady, hakuna jibu lingine zaidi yahilo.
 
ivi peter angemwambia yes huyu ni mtoto wangu ingelikuwaje,Angeumia then life inakuwa sawa
 
hapo kazi ipo, the man has to humble to hios wife & telling her the truth.
 
Word mkuu.

Yes. Yaani mi asitegemee nikikuta mtoto kafanana naye sijui daddy ntamuuliza huyu nani? maana nshajua ni mtuye napiga kimya najiongeza tu sihangaiki na mambo ya kijinga atajua mwenyewe ataleaje nakomaa na watoto tu documents za vitu ni majinabya watoto akizaa 30 atajiju mi sihusiki kwa lolote nao.
 
Hata kama... Kama unamichepuko milimani city siyo sehemu salama hata kidogo... Utakutana hata na house girl wako wakati alikuaga anarudi kijijini wiki moja kusalimia wazazi...
Hahahahahahaa
 
nakupa kisa mfanano na stori yako kisa cha kweli.

kuna jamaa mmoja katavi huko (mwaka 2001) nae aliwahi itwa baba na mtoto flani (mwanamke alikuwa kaolewa). mume akapata mashaka iweje mtoto wake amuite mtu mwingine baba, jamaa akamtaiti yule aliyeitwa baba.

ilitokea taflani iliyo pelekea kifo cha yule aliyeitwa baba na mtoto mdogo. sikujua kesi hii iliishia wapi

ila yule bwana namkumbuka alikuwa ndugu wa afisa tawala kipindi hicho, sehemu ilikuwa maeneo ya wauza mitumba zamani soko kuu.ujinga wa wauza mitumba wakashangilia na kupambisha mpaka jamaa akauawa.
 
basi najiweka kwenye viatu vya mwanaume

nawachukua mpaka kwenye lile banda la juice tunakaa halafu naweka kila kitu hadharani kwa sababu kuna vitu vya kuficha lakini siyo hilo. ni wakati wa kuvuna mbivu au mbichi
Hapo umechemka, mwite mchepuko mbele ya wife mtambulishe mengine mkirudi nyumbani akikataa kutambulishwa aga mtoto rudini nyumbani maana shopping imeishia hapo huko sasa mkayamalize. Jua si wife tu atakeyeumia hata mchepuko maana wote ni wako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…