Mtoto akutwa amekufa msikitini Zanzibar

Mtoto akutwa amekufa msikitini Zanzibar

Marco Polo

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
13,209
Reaction score
20,957
Mtoto wa mwaka mmoja na miezi miwili Lightness David aliyepotea kwa siku nne Leo amekutwa amekufa ndani ya hodhi la maji linalokadiriwa kuwa na urefu wa futi saba ndani ya msikiti wa sheikh Othman Maalim huko Masingini Zanzibar.

Source: Zenj FM
 
Aisee,kazzzi kweli.Msikiti huo naujuwa.

Ngoja nimuulize mtu aliepo jirani pale.

Sitaki ku comments zaidi ngoja usiku nisikilize taarifa ya Habari au kama nikipata wasaa nipite maeneo yale niulizie mtu.
Ili hata niki comments niwe na hoja ya msingi.

Cha msingi hapo ni kuuliuza familia vizuri kwanza kama kuna mtafaruku kati ya wazazi wa mtoto,la pili ni kuangalia kama wanauhasama gani na majirani wa eneo husika juu ya Imani za dini.
Haya mawili ndio yatatoa mwanga juu ya hili tukio.

Ningependa watu tu Comments baada ya kuwa na pa kuanzia na sio tukurupuke tu,naimani hata Faruk Kareem wa ITV ataelezea hili leo usiku kwenye taarifa ya habari
 
Majiran wamehojiwa wamesema walikuwa wanaishi poa tu na familia ya mtoto..... Hata baba wa mtoto mwenyewe amesema hakuwa na ugomvi na mtu yeyote anamwachia Mungu na vyombo vya dola vifanye uchunguzi.
 
Majiran wamehojiwa wamesema walikuwa wanaishi poa tu na familia ya mtoto..... Hata baba wa mtoto mwenyewe amesema hakuwa na ugomvi na mtu yeyote anamwachia Mungu na vyombo vya dola vifanye uchunguzi.

Aisee,basi acha tusubirie uchunguzi wa Polisi ili tujue chanzo ni nini
 
Mkuu itakuwa ametipwa,maana hodhi za miskitini kwa umri ule hawezi kupanda juu.
Na maeneo msikiti ulipo hawezi kufika mtoto wa umri ule peke yake.

Ni kwel atakukuwa katupwa kwasababu hodhi lenyewe lina urefu unaokadiria futi 7.
 
Lightness David gone too soon...! God is watching...! Kalale kwa amani kwakuwa mtetezi wako yu hai
 
Kama ni chuki au kisasi aliyefanya hivyo kwa kweli hata shetani anamshangaa.
Maana hawezi pambana na huyo mtoto ni dhahiri akili zake zinamapungufu.
 
rest in peace mungu awasamehe waliofanya hvyo kwan hawajui walitendalo n wamesahau kuwa kila nafsi itaonja mauti ameeen
 
Back
Top Bottom