Mtoto akisha kua atatanganzwa RC

Mtoto akisha kua atatanganzwa RC

Liwolo

Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
13
Reaction score
2
Hv sijui tunaelekea wapi Tanzania,DSM haina RC kwa muda sasa hii sio kusema wenye sifa hawapo bali propaganda zinaendelea,Kuna kitu nyuma ya pazia kina eleza kuwa kuna yule aliyekosa jimbo Arusha mjin ndiye mlegwa,akimaliza kulea basi jiji litapata RC.
 
Hee kwani walishamjaza yaani alitaka kwenda dodoma na kichanga hana maana kweli huyu haki za binadamu wamesham=chungulia
 
Hv sijui tunaelekea wapi Tanzania,DSM haina RC kwa muda sasa hii sio kusema wenye sifa hawapo bali propaganda zinaendelea,Kuna kitu nyuma ya pazia kina eleza kuwa kuna yule aliyekosa jimbo Arusha mjin ndiye mlegwa,akimaliza kulea basi jiji litapata RC.

Si kweli ni kwamba kuna tetesi kwamba kila anayependekezwa kwa mkulu anakuwa ni "kafir" hivyo kuna kibarua cha kutafuta mtu mwingine mwenye sifa ya ziada.
 
Si kweli ni kwamba kuna tetesi kwamba kila anayependekezwa kwa mkulu anakuwa ni "kafir" hivyo kuna kibarua cha kutafuta mtu mwingine mwenye sifa ya ziada.

Ina maana Mkulu anataka anayependekezwa awe Mwislamu?!!!
 
Ninavyo wachukia wakuu wa mikoa. Kwa nchi yetu ni kutafutiana ulaji tu. Usije shangaa Makamba aliyeshindwa kuiongoza CCM akapewa tena. Bora Dar ibaki ivyo ivyo kwa mwaka ili tujue kuwa tunaweza kuendesha nchi bila hao wakuu wa Mikoa.
 
Huo wote upuzi wa katiba yetu, kwa nni mkuu wa mkoa lazima awe ccm? hii ni janja ya chama kuendlea kujiimalisha kwa kutumia pesa za umma,
DAR kutokua na mkuu wa mkoa ina maana kila mkoa unaweza kuendshwa bila kuwa na mkuu wa mkoa, maana sio mabadiliko yeyote tukiwa au tusipokuwa na mkuu wa mkoa
kikwete bado hajasoma ramani na nyakati ana zidi kimaliza chama chake kwa manufaa yake binafsi
 
Hv sijui tunaelekea wapi Tanzania,DSM haina RC kwa muda sasa hii sio kusema wenye sifa hawapo bali propaganda zinaendelea,Kuna kitu nyuma ya pazia kina eleza kuwa kuna yule aliyekosa jimbo Arusha mjin ndiye mlegwa,akimaliza kulea basi jiji litapata RC.

Kweli hujui!!!!!!!!!! Hii nchi ni ya kifalme ambapo koo fulani zimejaaliwa kutawala milele. Japo Baba wa Taifa alivunjilia mbali mifumo ya Uchifu, bado haijasaidia maana wote waliomrithi yeye wameendeleza mifumo hiyo (Chiefdom systems) ndani ya serikali. Leo angalia hata kwenye chama cha magamba, anatoka Makamba anaingia Makamba.

Hivi unataka kuniambia kuwa miongoni mwa wanachama wa CCM wanaosemekana kuwa ni zaidi ya milioni 5 hakupatikana mtu mwenye uwezo wa kuongoza chama hadi kupelekea Makamba mdogo kurithi mikoba japo siyo nafasi ile ile ya baba?

Kazi bado ipi Tanzania, ukombozi bado haujafanikiwa, ukoloni bado upo Tanzania. ukubali usikubali lakini ukweli ndo huo. Fikiria urithi ulivyo kwenye madaraka, mimi naorodhesha wachache na wewe utaendeleza orodha hiyo;

1. Kigoma Malima - Adamu Malima
2. Yusuf Makamba - January Makamba
3. Moses Mnauye - Nape Mnauye
4. Abeid A. Karume - Amani A. Karume, na Ali Karume
5. Ali Hasan Mwinyi - Husein Mwinyi
6.
 
Hii inadhihirisha kuwa hakuna haja ya wakuu wa mikoa. Hata hao wa wilaya bado sioni umuhimu wao.
 
Anayekaimu yule mkuu wa mkoa wa Lindi anafaa. Hasa ukichukulia alivyomakini kufuatilia misaada ya wahanga wa Gongo la Mboto!
 
hivi Dar inahitaji RC?? for what?:A S embarassed:
 
LOHHHH!!! ina maana huyo mtoto anayesubiriwa kukua ni wa mkuu wa kaya? Kwa nini asubiriwe yeye tu.
 
1. Labda kama JF kimekuwa kijiwe cha majungu, matusi, mambo ovyo ovyo tu..Basi endeleeni...........

2. Labda baadhi yetu tunapost na kujibu hoja ili kutoa dukuduku na chuki zetu dhidi ya Utawala wa sasa....na pengine ni sawa tu endeleeni.....

3. Labda ni kweli kuwa JF hapa kuna baadhi ya watu wanalo lao jambo, poa tu endeleeni......

4. Lakini kama hayo si kweli ninadhani tuwe na subira ili tuone ni akina nani watateuliwa katika nafasi za Ma-RC, Ma-DC na Ma-DED, kisha tuanze kuwajadili maana tutakuwa na vigezo.
 
Malaika wa mungu (mtoto) anasingiziwa tu, hoja ya msingi hapa ni kuwa asiye muislam ni kafiri na hawezi kuongoza mkoa kama huo (Dar) kwa hiyo watafute sababu nyingine na bora watangaze zama za kuongozwa na makafiri kama zimeisha ifahamike kwani matendo yanaashiria hivyo
 
1. Labda kama JF kimekuwa kijiwe cha majungu, matusi, mambo ovyo ovyo tu..Basi endeleeni...........

2. Labda baadhi yetu tunapost na kujibu hoja ili kutoa dukuduku na chuki zetu dhidi ya Utawala wa sasa....na pengine ni sawa tu endeleeni.....

3. Labda ni kweli kuwa JF hapa kuna baadhi ya watu wanalo lao jambo, poa tu endeleeni......

4. Lakini kama hayo si kweli ninadhani tuwe na subira ili tuone ni akina nani watateuliwa katika nafasi za Ma-RC, Ma-DC na Ma-DED, kisha tuanze kuwajadili maana tutakuwa na vigezo.

Subira gani unayoitaka ?? Kama cheo cha RC ni lazima; sasa iweje asiteuliwe muhusika baada ya nafasi kuwa wazi siku nyingi sasa????
 
Kila jambo na wakati wake. Ukifika muda wa kuwateua watateuliwa tu.

Lakini pia, haya ni baadhi ya mambo yanayopaswa kuwa kwenye Katiba ijayo. Kama hizi nafasi za Ma-RC na Ma-DCi ni muhimu kweli, basi kuwe na vigezo vya uteuzi, wateuliwa wapitishwe na Bunge na uwekwe muda wa kujaza nafasi hizi mara tu baada ya Rais kuunda Serikali kulikoni ilivyo sasa mpaka mwenye nyumba aamue ni nani, lini na wapi...du!.
 
Back
Top Bottom