Hii inadhihirisha kuwa hakuna haja ya wakuu wa mikoa. Hata hao wa wilaya bado sioni umuhimu wao.
Hv sijui tunaelekea wapi Tanzania,DSM haina RC kwa muda sasa hii sio kusema wenye sifa hawapo bali propaganda zinaendelea,Kuna kitu nyuma ya pazia kina eleza kuwa kuna yule aliyekosa jimbo Arusha mjin ndiye mlegwa,akimaliza kulea basi jiji litapata RC.
Bajeti hairuhusu kwa sasa, labda baada ya julai!na vp kuhusu Njoruma ,Katavi na mingine?
Kwa Arusha mama asahau kumng'oa Lema hakuna wa kumpigia kura labda familia yake.Arusha hatuitaki ccm pmj na viongozi wake na kulidhihirisha hili Polisi warudie ile mambo walifanya ma'peole wakafa,safari hii watatuua wote tumekamilika snSio kwamba Dar haina RC bali nchi nzima. Ni kwamba baada ya kuingia ikulu, jamaa alitakiwa kuteua ma RC na ma DC, wote waliopo sasa wanakalia viti hivyo kwa sababu tu kwamba jamaa hajafanya uteuzi. Dar inaonekana kwa sababu RC wake ameshinda ubunge. Mwanza ingekua hivyo pia endapo Kandoro angeshinda Iringa, ma rc wengi walichakachuliwa kwenye kura za maoni, Kandoro, Nsekela, Mbega, nk. jamaa anapata
kigugumizi kwa sababu walioko benchi ni wengi, hajui amweke nani amwache nani. Inasemekana mama wa Arusha anabembeleza abaki pale pale arusha ili ajitengenezee mazingira ya kumng'oa Lema 2011.
Si kweli ni kwamba kuna tetesi kwamba kila anayependekezwa kwa mkulu anakuwa ni "kafir" hivyo kuna kibarua cha kutafuta mtu mwingine mwenye sifa ya ziada.
1. Labda kama JF kimekuwa kijiwe cha majungu, matusi, mambo ovyo ovyo tu..Basi endeleeni...........
2. Labda baadhi yetu tunapost na kujibu hoja ili kutoa dukuduku na chuki zetu dhidi ya Utawala wa sasa....na pengine ni sawa tu endeleeni.....
3. Labda ni kweli kuwa JF hapa kuna baadhi ya watu wanalo lao jambo, poa tu endeleeni......
4. Lakini kama hayo si kweli ninadhani tuwe na subira ili tuone ni akina nani watateuliwa katika nafasi za Ma-RC, Ma-DC na Ma-DED, kisha tuanze kuwajadili maana tutakuwa na vigezo.
Hv sijui tunaelekea wapi Tanzania,DSM haina RC kwa muda sasa hii sio kusema wenye sifa hawapo bali propaganda zinaendelea,Kuna kitu nyuma ya pazia kina eleza kuwa kuna yule aliyekosa jimbo Arusha mjin ndiye mlegwa,akimaliza kulea basi jiji litapata RC.