Mtoto adhalilishwa msibani kwa Barlow

Haya ni matatizo ya akili kuna jamaa yangu mmoja tulikua
yukienda club akicheza na binti lazima ajichafue
kwa hiyo huwa anamaliza
 
sijui mijinaume mingine ipoje mwenzangu? ni ukame au ni nini?

ni ushetani kabisa,mi siku moja kwenye dadadala nikamshtukia kaka mmoja ananisukuma sana,nikageuga nikasogea,mara gari lilivyochanganya akarudia tena kunisogelea na this time kafungua kabisa zipu dude limesimama anajisugua na mimi,nikajua hii mb.... live,niligeuga nilimpiga mangumi dabodabo kwa uchungu na hasira,nilipiga kelele watu wanashangaa,anaanza kunitukana eti najishuku nikamwambia unauhakika najishuku piga kibao cha uso nikawaonyesha watu ona dudu lake,watu jamaniii hawakuamini ndio linafunga zipu,piga tena vibao ndio wanaume wakaingilia walimpiga nusu auliwe na akashushwa kwenye gari wengine wakashuka nae alipigwa kwa kweli mpaka nikaanza kumhurumia tena.Ila alikuwa bado hajapizi,nikawa ninaimagine angenichafua sijui ningemraruaje.Ilibidi nishuke kituo cha mbele nikarudi home maana niliumia mikono kwa kumpiga na nilichafuka blaus maana nilipigana live,looh,sitakuja kusahau!
 
duh inasikitisha sana hata hivyo pole sana japo sio leo,lakini dunia ndio iko hivyo kuna watu na wanadamu.
 
Ni sehemu ya maombolezo. Ni machozi mazito hayo, ilibidi yatoke kwa bomba na bahati mbaya ndoo ya kukingia ilifunikwa na sare, yanamwagikia juu yake akajifuta machozi hayo kwa sare hiyo hiyo. Du! RIP Barlow!
 
ni ushetani kabisa,mi siku moja kwenye dadadala nikamshtukia kaka mmoja ananisukuma sana,nikageuga nikasogea,mara gari lilivyochanganya akarudia tena kunisogelea na this time kafungua kabisa zipu dude limesimama anajisugua na mimi,nikajua hii mb.... live,niligeuga nilimpiga mangumi dabodabo kwa uchungu na hasira,nilipiga kelele watu wanashangaa,anaanza kunitukana eti najishuku nikamwambia unauhakika najishuku piga kibao cha uso nikawaonyesha watu ona dudu lake,watu jamaniii hawakuamini ndio linafunga zipu,piga tena vibao ndio wanaume wakaingilia walimpiga nusu auliwe na akashushwa kwenye gari wengine wakashuka nae alipigwa kwa kweli mpaka nikaanza kumhurumia tena.Ila alikuwa bado hajapizi,nikawa ninaimagine angenichafua sijui ningemraruaje.Ilibidi nishuke kituo cha mbele nikarudi home maana niliumia mikono kwa kumpiga na nilichafuka blaus maana nilipigana live,looh,sitakuja kusahau!
mmmh mimi nahisi nitakufa hapo hapo
 
Heeh! Sasa bomba aliliachia side ways! Pole sana, that would haunt me!
Cha kusikitisha polisi watakuwa walipewa tshs 20,000 tu na kumuachia jamaa. Damn this cursed country!

Acha tu nakwambia niliona wananizunguuuusha nikaachana nao kwanza wananipotezea muda wa chuo nikashitilia mbali
 
King'asti tukubali kuwa dunia imebadilika ya ulezi wa watoto

Nakumbuka wakati mie nakua, mzazi jirani nilikuwa nampa heshima sawa na wazazi wangu

Na hata akinikuta nafanya kitu si sawa, ananifokea kama mzazi wangu
Kadhalika walimu nao, pamtoja na kuwa adhabu zao zilikuwa kali lakini walikuwa wana-act pale pale
Mwalimu hata akukute umesimama chemba muda wa home kesho atakutangaza na kukuadhibu shuleni

Siku hizi hii haispo tena, mtoto ana haki, haki zenyewe tumekopi na kupaste hatujui hata utekelezaji wake kwenye maisha ya kawaida ukoje.
Sasa hivi mtoto ana haki mara ya kuwa na biufrend ila wasingonoke, huyo huyo mtoto keshachezwa unyago anatamani kupractice.

Enzi zangu niende home na kivulana afu niseme ni boyfrend, 'Chinekeeee" tunagawana majengo ya serikali, mie muhimbili mzazi Segerea

Mi naona tumejichanganya sana.

Mimi ningedili na waalimu. Nadhani nitakuwa na clear time table for my kids, saa ngapi wanaenda shule, saa ngapi wanatoka na saa ngapi wanafika home (allowance ya foleni time). Waalimu watakuwa na clear instructions, wanangu hawatoki bila mimi kuwachukua ama baba yao! Waalimu ni walinzi wa watoto, why watoto wanafugwa huria kama mbwa koko (forgive my lingua)
 
King'asti tukubali kuwa dunia imebadilika ya ulezi wa watoto

Nakumbuka wakati mie nakua, mzazi jirani nilikuwa nampa heshima sawa na wazazi wangu

Na hata akinikuta nafanya kitu si sawa, ananifokea kama mzazi wangu
Kadhalika walimu nao, pamtoja na kuwa adhabu zao zilikuwa kali lakini walikuwa wana-act pale pale
Mwalimu hata akukute umesimama chemba muda wa home kesho atakutangaza na kukuadhibu shuleni

Siku hizi hii haispo tena, mtoto ana haki, haki zenyewe tumekopi na kupaste hatujui hata utekelezaji wake kwenye maisha ya kawaida ukoje.
Sasa hivi mtoto ana haki mara ya kuwa na biufrend ila wasingonoke, huyo huyo mtoto keshachezwa unyago anatamani kupractice.

Enzi zangu niende home na kivulana afu niseme ni boyfrend, 'Chinekeeee" tunagawana majengo ya serikali, mie muhimbili mzazi Segerea

Mi naona tumejichanganya sana.

hah! hah! hah! hii ya kugawana majengo ya serekali ni vocabulary mpya umenipa!! Tatizo letu siku hizi tunajidai tunajua kupenda watoto kumbe ni ute mtupu!! Eti mzazi anathubutu kwenda shule kumlaumu mwalimu kwa nini amemchapa mwanae! Unategemea mtoto huyo aweje!?
 
nimesikia habari inasikitisha imehusishwa na imani za kishirikina lakini sielewe ni tabia gani ya namna hii....... imenikumbusha maumba
 
Hawakufanikiwa kabisa eh?, jata siku moja du we noma, mara zote hizo!!!!!!!???????......
ni uhuni uliopitiliza ujue watoto wanabakwa sana kwenye jamii zetu..mimi nilishanusurika kubakwa mara 3 nikiwa mdogo
 
Back
Top Bottom