Mtoto adhalilishwa msibani kwa Barlow

Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,347
11,610
na Sitta Tumma, Mwanza

amka2.gif
WAK
ATI vilio, simanzi na huzuni jana vikighubika jiji la Mwanza wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Liberatus Barlow, mwanafunzi wa darasa la tano amedhalilishwa kingono na mtu asiyefahamika.
Mbali ya simanzi hizo, baadhi ya waombolezaji walianguka na kuzirai akiwemo mkewe, Marystella Barlow, aliyeishiwa nguvu ghafla katika tukio hilo ambalo lilihudhuriwa na mamia ya watu wakiwemo viongozi wakiongozwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi.
Pia makamanda wa polisi wa mikoa yote sita ya Kanda ya Ziwa, walishiriki shughuli hiyo iliyofanyika katika Uwanja wa Nyamagana na baadaye jioni mwili kusafirishwa kwa ndege kwenda jijini Dar es Salaam ambapo familia ya marehemu inaishi.
Katika hatua ya kushangaza, mwanafunzi huyo wa shule moja jijini hapa, alijikuta akifanyiwa udhalilishaji wa kingono kwenye maungo yake sehemu ya makalio ambapo mwanaume mmoja asiyefahamika alimchafua sare yake kwa kumwagia manii pasipo kujua.
Tukio hilo la kufedhehesha kwa mwanafunzi huyo ambaye jina linahifadhiwa lilitokea wakati wananchi wakiwa wamebanana kwa ajili ya kushuhudia shughuli za kuagwa kwa mwili wa Barlow.
Mwanafunzi huyo alikuja kubaini tukio hilo la kuchafuliwa sare yake kwa manii baadaye, hivyo akaondolewa eneo hilo kwa msaada wa polisi.
“Nani amenimwagia maji huyo…jamani haya maji maji yametoka wapi?” alihoji mwanafunzi huyo baada ya kubaini tukio hilo kabla ya kuondolewa eneo hilo.
Hata hivyo hakuna mtu aliyekamatwa kutokana na tukio hilo lililozua minong’ono kwa waombolezaji huku baadhi yao wakilihusisha na matendo ya kishirikina.
SOURCE....GAZETI LA MTAZANIA DAIMA

sijui mijinaume mingine ipoje mwenzangu? ni ukame au ni nini?

wanatudhalilisha sana wanaume...hivi kweli dunia ya leo bado watu wanaendelea kubaka? nashindwa kweli kuelewa nini kimo ndani ya hivi vichwa vyetu.
 
msichana utaingiaje katikati ya wanaume? Si katulie nyumbani kasome .. Hii ni kazi ya dunga dunga
 
wanatudhalilisha sana wanaume...hivi kweli dunia ya leo bado watu wanaendelea kubaka? nashindwa kweli kuelewa nini kimo ndani ya hivi vichwa vyetu.
ni uhuni uliopitiliza ujue watoto wanabakwa sana kwenye jamii zetu..mimi nilishanusurika kubakwa mara 3 nikiwa mdogo
 
Dungadunga wamerejea tena, haya majamaa sijui yana akili gani aisee...
 
ni uhuni uliopitiliza ujue watoto wanabakwa sana kwenye jamii zetu..mimi nilishanusurika kubakwa mara 3 nikiwa mdogo

Ni ugonjwa wa akili pia...mbona naona kama watu wako free zaidi siku hizi kufanya wanayotamani bila kubaka?
 
Ni ugonjwa wa akili pia...mbona naona kama watu wako free zaidi siku hizi kufanya wanayotamani bila kubaka?

nakubaliana na wewe kuwa hawa wabakaji wana matatizo ya akili haiwezekani kabisa mtu ukabake wakati za bure zipo nyingi tu....
 
msichana utaingiaje katikati ya wanaume? Si katulie nyumbani kasome .. Hii ni kazi ya dunga dunga
SI si alikwenda naye kuaga mwili wa Kamanda wake jamani? Au hana haki?

Ila tukumbuke kuwa si kila mtu huwa na nia iliyo njema kila wakati, humo humo kwenye mkusanyiko kuna walokwenda kwa nia ya kuiba ingawa sidhani kama huyo alotenda kitendo hicho alikwenda kwa nia ya kutenda hivyo au ni kawaida siku hizi??
 
Wanaume wengine manii sijui ni zipo karibu au nini, kuna kijana aliwahi kupigwa kwa kumchafua dada waliyekua wamebanana kwenye daladala baada ya dada kushangaa jamaa anambana na akigeuka jamaa naye anageuka ndiyo dada akashuka ameshachauliwa ikabidi amuumbue na kijanaa akaambulia makonde na fedhea juu.
 
Kwel nimeamin mcba wa kizinaa, unaenda kizinaa zinaaa tu

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Nadhani haya ni madhara ya vijana wengi wa sikuhizi kupenda kuangalia PORNO GRAPHICS, halafu akikosa pakuzishushia hizo ashiki zake ndo anafanya hayo yaliyotokea.
 
Wanaume wengine manii sijui ni zipo karibu au nini, kuna kijana aliwahi kupigwa kwa kumchafua dada waliyekua wamebanana kwenye daladala baada ya dada kushangaa jamaa anambana na akigeuka jamaa naye anageuka ndiyo dada akashuka ameshachauliwa ikabidi amuumbue na kijanaa akaambulia makonde na fedhea juu.

Kweli, za kwenye daladala ziko nyingi tu!
Unakuta mtu nyuma yako anajifanya amekubana au mmebanana sana
kumbe ndo anamaliza mambo yake hivyo
tena asubuhi asubuhi asubuhi ndo mijidume inadindisha hatari
kwa wenye makalio makubwa adha hii inawapata sana!
 
SI si alikwenda naye kuaga mwili wa Kamanda wake jamani? Au hana haki?

Ila tukumbuke kuwa si kila mtu huwa na nia iliyo njema kila wakati, humo humo kwenye mkusanyiko kuna walokwenda kwa nia ya kuiba ingawa sidhani kama huyo alotenda kitendo hicho alikwenda kwa nia ya kutenda hivyo au ni kawaida siku hizi??

M1 kweli sijapenda hiki kitendo ila kama msichana kuna mambo anatakiwa awe anayaangalia na yeye .sio kila sehemu ni ya kwenda kama yeye sio ndugu. Tatizo lao hawataki kupitwa na hii ndio result yake.
 
Back
Top Bottom