Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,483
- 167,058
Siku hizi mtori unachakachuliwa sana na hawa wapishi uchwara wa kwenye mabaa.
Baa nyingine wanakuletea mtori wa mihogo, baa nyingine mtori wa magimbi, na sehemu nyingine mtori umechanganywa na viazi utamu.
Jamani nataka nielekezwe sehemu ntakayopata mtori wa ndizi, tena uwe na nyama nyingi.
Break Point upo wa ukweli..jaribu pale
Siku hizi mtori unachakachuliwa sana na hawa wapishi uchwara wa kwenye mabaa.
Baa nyingine wanakuletea mtori wa mihogo, baa nyingine mtori wa magimbi, na sehemu nyingine mtori umechanganywa na viazi utamu.
Jamani nataka nielekezwe sehemu ntakayopata mtori wa ndizi, tena uwe na nyama nyingi.
Mburahati kuna nyama choma ya yule mdudu haramu...mtori bomba sana...hamna uchakachuaji pale. Halafu we buji huwa unakeshaga chit-chat 25/7 si ndio??aagh Nalog off.
Dah hapo Mburahati umenitamanisha mno aisee
Weka link huo uzi...Buji, hebu pita uzi wa x-paster wa mahanjumati umchukulie mamaa recipe. Pita hapa kwangu uzoee supu ya mbuzi na chapati swaafi, ila uje na mkeo.
Siku hizi mtori unachakachuliwa sana na hawa wapishi uchwara wa kwenye mabaa.
Baa nyingine wanakuletea mtori wa mihogo, baa nyingine mtori wa magimbi, na sehemu nyingine mtori umechanganywa na viazi utamu.
Jamani nataka nielekezwe sehemu ntakayopata mtori wa ndizi, tena uwe na nyama nyingi.
Nenda jackies masaki,bonge la mtori na chapati nzito,i used 2 go there.