Ahsante mke wangu... ngoja nikaoge kwanzaMahitaji:
Namna ya Kupika
- Nyama ya ng'ombe
- Ndizi mbichi
- Kitunguu maji
- Mafuta ya kupikia
- Blue band / Tanbond
- Chumvi kiasi
- Katakata nyama na kisha iweke kwenye sufuria yenye maji kidogo na chumvi kiasi
- Chemsha nyama mpaka iive
- Epua nyama yako na uiweke pembeni
- Menya maganda ya ndizi
- Katakata ndizi katika vipande vidogo kisha vioshe
- Weka ndizi kwenye sufuria lenye maji kiasi na chumvi
- Katakata vitunguu maji na viongeze kwenye sufuria lenye ndizi
- Chemsha ndizi
- Mara kwa mara geuza ndizi na mwiko ili kuhakikisha zote zinaiva.
- Epua ndizi zako, na kisha punguza maji uliyochemshia kwenye chombo safi
- Pondaponda ndizi huku ukiongeza maji uliyoyatenga ili kulainisha mchanganyiko
- Ongeza margarine
- huku ukiendelea kuponda
- Ndizi zinapokua laini kabisa weka nyama uliyochemsha kwenye mchanganyiko wa ndizi
- Ongeza maji uliyochemshia nyama na koroga mpaka mchanganyiko huo uchanganyike vyema
Asprin karibu mume wangu.
Usione wivu... ukiona vinaelea....?Hadi nimeona wivu.[emoji134]
Kule kwetu ndo msosi wetu wa asili huo
Tulia dogo. Mi mzazi wako ujueDaa asprin anafaidi
Ashindwe tu mwenyewe kupiga mashine mpaka ilie koooooo
Rudi nyuma shetani!supported with vumbi la congo!(jus jokes lkol)
Asante.Nikikosa hizo ninapikia matoke
Anaachia hewa chafuAnafanyaje anko babu?
Ila anko babu na wee si mstaafu hukwenda pale white house?nadhani mchango ungekuwa mkubwa sanaAnaachia hewa chafu
Dah.... Akibakiza usiumwage bana....tupo njaa Kali huku...Mahitaji:
Namna ya Kupika
- Nyama ya ng'ombe
- Ndizi mbichi
- Kitunguu maji
- Mafuta ya kupikia
- Blue band / Tanbond
- Chumvi kiasi
- Katakata nyama na kisha iweke kwenye sufuria yenye maji kidogo na chumvi kiasi
- Chemsha nyama mpaka iive
- Epua nyama yako na uiweke pembeni
- Menya maganda ya ndizi
- Katakata ndizi katika vipande vidogo kisha vioshe
- Weka ndizi kwenye sufuria lenye maji kiasi na chumvi
- Katakata vitunguu maji na viongeze kwenye sufuria lenye ndizi
- Chemsha ndizi
- Mara kwa mara geuza ndizi na mwiko ili kuhakikisha zote zinaiva.
- Epua ndizi zako, na kisha punguza maji uliyochemshia kwenye chombo safi
- Pondaponda ndizi huku ukiongeza maji uliyoyatenga ili kulainisha mchanganyiko
- Ongeza margarine
- huku ukiendelea kuponda
- Ndizi zinapokua laini kabisa weka nyama uliyochemsha kwenye mchanganyiko wa ndizi
- Ongeza maji uliyochemshia nyama na koroga mpaka mchanganyiko huo uchanganyike vyema
Asprin karibu mume wangu.
Pale palipelekeshwa kisiasa. Ndo maana unaona mimi na Tundu Lissu hatukuonekanaIla anko babu na wee si mstaafu hukwenda pale white house?nadhani mchango ungekuwa mkubwa sana
Astaghafurulilah"Shimo la panya halizibwi kwa mkate"
Hivi unaweza ukatengeneza mtor wa kitimoto.Maandazi ya si we na sukari nyingi