Mtongoze mwanamke ndani ya dakika tatu

Mtongoze mwanamke ndani ya dakika tatu

Mpe hela
Mpe tena hela
Mpe hela tu
We si umpe hela....?
Hauna hela au?
Basi mpe hela...

Hii inaitwa "mtongoze mwanamke kwa sekunde moja"..
Kitendo kidogo kirahisi ..chukua mkono wako..ingiza mfuko wa nyuma toa wallet ..toa hela.
 
Mpe hela
Mpe tena hela
Mpe hela tu
We si umpe hela....?
Hauna hela au?
Basi mpe hela...

Hii inaitwa "mtongoze mwanamke kwa sekunde moja"..
Kitendo kidogo kirahisi ..chukua mkono wako..ingiza mfuko wa nyuma toa wallet ..toa hela.
Endelea kuuziwa
 
Neno dakika tatu limetumika kama kuonyesha uharaka wa jambo linavyoweza kuwa.

Mfano, kuna vibanda vinapiga picha za passport size na wameandika ni kwa dakika tatu tu, lakini ukweli ni kwamba zoezi litachukua robo saa.
 
Saa nne asubuhi hii nitakuwa Na bibie mumu katika interview

DJ sepetu
 
Mnanikumbusha mbali 2009 story za maskani.....utachelewa Mkuu hayo maigizo waachie wakorea
 
Hivi hiyo #12 na #14 ni ndani ya hizohizo dk 3 unazosema!!!!

Mkuu em tuwe serious asee....

Na #13 kwanini hujaiweka?
 
Back
Top Bottom