ikinyunyi
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 1,062
- 941
Dakika tatu hizi hizi ninazozifahamu mimi au.
[emoji3] [emoji3] km ulikuwa kwny akili yng, nlitaka tu kujua hadi umefikia hatua ya kumchagulia nguo za kuvaa (#12), bado itakuwa dk3?!
Anywayz, uzi umesimama sana na kuna vitu umeniongezea nitavifanyia kazi....hongera[emoji122] [emoji122] [emoji122]