MeinKempf
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 11,092
- 7,236
ID tu ya mleta mada ina sawili Yale yaliyomo ndani ya uzi wake.
ID = muosha rungu we unategemea nini hapo??
ID = muosha rungu we unategemea nini hapo??
Kivipi mkuuID tu ya mleta mada ina sawili Yale yaliyomo ndani ya uzi wake.
ID = muosha rungu we unategemea nini hapo??
Poleni Na mafuriko tanga,je kusingekuwa Na mafuriko!!,hizo ni kesi moja kwa elfu[emoji12] [emoji12]Mleta thread ni mpu.mbav.u yaan maneno yote ayo ndo umtamkie mwanamke ndani ya dakika 3? ?? Niwaambieni ukweli hakuna formula maalum kwa ajili ya kutongoza mwanamke mkae mkijua hilo. ..kuna dem jana nimemsaidia kuvuka maji ya mafuriko jana iyo iyo akaniomba namba ya simu jioni akanipeleka kwenye dina mzee baba nikaopoa kiulainiii
Kivipi mkuu