Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,744
- 25,446
ALIYEKUWA Mbunge wa Temeke kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF) Abdallah Mtolea, ametangazwa na msimamizi wa uchaguzi kuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya wagombea aliokuwa amechukua nao fomu kukosa sifa za kugombea.
Kwa habari zaidi tazama video:
Kwa habari zaidi tazama video: