Elections 2015 Mtolea Ashinda Ubunge Temeke, Apita Bila Kupingwa

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,744
25,445
ALIYEKUWA Mbunge wa Temeke kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF) Abdallah Mtolea, ametangazwa na msimamizi wa uchaguzi kuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya wagombea aliokuwa amechukua nao fomu kukosa sifa za kugombea.

Kwa habari zaidi tazama video:

Hivi kuna ushindi bila ushindani?
 
Back
Top Bottom