wakimataifa.
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 1,625
- 554
nimekunywa maji ya nusu lita kinduchi kwenye mgahawa nimeuziwa sh 1000/= mlimani city maji kama hayo nimeuziwa elfu mbili mitaani nauziwa miatano huku ni kutukomoa au vipi nimeingia mgahawa mmoja ktk ya jiji dar kipande cha samaki nimeuziwa elfu sita