Mtikisiko kibano kipya cha Escrow

Hiyo Kesi mpaka hapo ndiyo imeisha hakuna lolote kupoteza muda na kodi zetu.Hapo kama hawatawagusa waliokuwa wanaishi Kigamboni hakuna kitakachofanyika
 
Kwani huyu askofu alichotewa ngapi,na kama ni sadaka alizotoa kuzionyesha na kuzikabidhi ili zihesabiwe na kupangiwa matumizi na halmashauri ya kanisa ktk diocese yake? Boss wake,askofu mkuu alikuwa na habari na fedha hizo? Kama ni fungu la kumi,alizionyesha wapi! Kama hazikwenda ktk mtiririko huo kwa mujibu wa kazi yake anapaswa nae kujieleza!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alipeleka na mtiririko ulifuatwa,
 
Bila kuwaunganisha walioidhinisha malipo tajwa kesi tajwa haina mashiko. Ni kesi mfu.
 
Hao walosema pesa si za umma ndo wakuanza nao kwani walichangia kuwatia viburi na jeuri wale waliochota pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilaini ndani?

Mazoea hujenga tabia.Dharau hujenga upofu.Na wivu hulemaisha. Kwa hiyo katika orodha nzima ya wanufaika Wa Escrow wewe unamkumbuka Askofu Kilaini tu na Mkombozi banki? Unazijua taratibu za kibenki sawa sawa hadi ufikirie kwamba Mkombozi wana hatia?
 
Waambie wao hawamo, japo nao walikula..
 
nataka nimpime magufuli hapa kwenye kuwashughulikia wakatoliki.

Kwani Ruge sio Mkatoliki? Moyoni mwako umejaza nini? Ndio haya yanayofurika nje? Umejazwa moyoni na wivu na hususa juu ya Wakatoliki?

Wakatoliki pia hutenda dhambi na hutenda mema.Wapo wakatoliki watarithi Mbingu na wapo watakaoishilia motoni.Wapo Wakatoliki walioneemesha nchi hii kwa vichwa vyao na majiundo yao.Wapo wakatoliki pia waliofukarisha nchi.Pamoja na yote,Ukatoliki kama Imani unabakia na utukufu wake ila watu wake ndio waweza kuwa hawana tija.
 
Mkuu mbona hakuna jipya?
Mwanasheria Mkuu😛esa za Escrow si za serikali.
Waziri Mkuu Pinda:Escrow ni mali ya IPTL.
Waziri Muhongo😛esa za Escrow si mali ya serikali bali serikali inadaiwa na IPTL.
Raisi Kikwete:Escrow sio pesa za serikali,bali serikali kwa kupitia Tanesco tunadaiwa pesa zaidi na IPTL.
Ruge:Niliuza hisa zangu zote za IPTL nikalipa kodi ya mapato hayo kwa TRA sidaiwi na serikali.
Nikaamua kuwagawia rafiki zangu baadhi ya mapato yangu.
Kafulila:Escrow ni pesa za Umma.
Zitto:Escrow ni pesa za umma,serikali inapaswa kutaifisha mitambo yake ya kufua umeme.
Mkaguzi Mkuu wa serikali:Escrow ni pesa ya IPTL lakini kuna uwezekano wa kuwepo pesa za serikali.
Nani sahihi?
 
Kuna mtu anatafutwa labda alikua kambi nyingine kipindi cha uchaguzi ngoja tu subiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…