Mtikisiko kibano kipya cha Escrow

Mtikisiko kibano kipya cha Escrow

Benki ya mkombozi iliyotumika kugawa mgao vipi? Haina kesi?

Maaskofu watatu vipi?
Hawatakoswa tunaomba hata swaiba wako JK asiachwe. Hiyo ya Kilaini ni kiasi cha mboga tunataka asiishie kwa singasinga aende kwa maaskofu na mjomba wako JK
 
mkuu
zipo taratibu za mtumishi wa serikali anatakiwa kuzifanya... ndio maana ukimsikiliza ngereja utaona ni kwa nini amezirudisha zile pesa za eskrow...
pia ht wale wakatoriki wanahaki ya kusema ilikuwa sadaka

je pesa chafu au pesa ya serikali ni halali watukugawana!?

Pesa chafu vipi Wakati Kikwete alituambia ni pesa halali ya singa singa?
 
Back
Top Bottom