Mtikisiko CHADEMA: Harakati mpya zaibuka

Raia Mwema wanasema kweli. Mbowe ndiye tatizo ndani ya CHADEMA na sio Zitto. Mtu asiye na shule kama kawaida huwa hajiamini anapokuwa madarakani. Kwa nini Mbowe anavuruga chama ili tu kulinda mapungufu yake binafsi?

unajua mañana ya shule wewe?
 

Kuwapiga chini kina zzk na cos ndiyo karata peeke ya kuipeleka Cdm magogoni, maana yake Milango ya Ccm na wasaliti wake kuingia Cdm itakuwa imefungwa.
 

Mkuu namba 3 ndiyo haswaaaaaa lento kuutambua la hii saga
 

Haya, endeleeni kuheshimu maamuzi ya Familia ya Mtei, na huu ndio mwisho wa saccos yenyewe!
 
Dah, kama Sugu na Lema ndio washauri wa Mbowe basi hakuna muujiza unaokiua Chadema...

duhu nmeshtuka sana apo amna afadhali ata mmoja labda msgwa kwa 5% kwann watu wengi wa slka ya mbowe wanaogopa wasomi na wakosoaji????
 
Usuluhishi gani na watovu wa nidhamu?

Wasaliti wanaandika habari na kuihariri wao wenyewe.

Habari hii itoshe kupuuzwa tu

Wewe saa6+2 ni mpu*z sana, mnafikir cdm ni ya kaskazin! Na nawaaambia kama mtamfukuza zzk na kitila lazma chama kife hamtawez kuishinda propaganda ya ukabila!
 
kuna watu hawataki kukubali ukweli. magazeti kama RAI(SASA RAIA MWEMA), MWANAHALISI(SASA MAWIO) yamechangia kwa kiasi kikubwa kuifikisha chadema hapa ilipo. ni walevi na mbumbumbu ndio watalipinga hili.
sasa kibao kimegeuka na kwa ujinga uliofanywa na chadema kila chombo cha habari(kasoro tz daima) kiko against the move.
kuna wajinga humu wanaita raia mwema eti MAKANJANJA, damn it!!!
siku ya kufa nyani miti yote huteleza, hii ngoma bado mbichiiiiiiiiiiiiiiii
 
 
Usuluhishi gani na watovu wa nidhamu?

Wasaliti wanaandika habari na kuihariri wao wenyewe.

Habari hii itoshe kupuuzwa tu

wenzako wana kazi, wewe huna kazi-na iwapo uongozi uliopo sasa utaanguka ndo kusema wewe ni muathirika Na.1 kwasababu sijui utaishije-kwajinsi hiyo wewe utapigana kufa kupona suluhu isipatikane kwani suluhu ikipatikana tu ZZK analamba uongozi na siku inayofuata hutokuwepo Ofisini-kwahiyo kila unalochangia/kusimamia ni kuhakikisha amani amani haipatikani, HIVI NDIVYO VIJANA WANATAKIWA KUKUFAHAM na WASIDHANI una uchungu na NJIII hata KIDOGO
 
mkiusikiliza upuuzi wa maccm shauri yenu.

Mnyang'anyeni zitto kadi ya Chadema full stop

Kweli kabisa Mkuu huwezi kusuluhisha NURU na Giza wala Shetani na Mungu.Kosa kubwa kwa CHADEMA kutakuwa kukubali upuuzi huu wa kujaribu kuchanganya mafuta na maji.Hao wasuluhishi wanakosea sana kusema hapo kunamgogoro hakuna mgogoro ni utekelezaji wa Katiba ya Chama.
Hakuna Mwanchadema anaye weza kuunga mkono upuuzi na kipimo cha kumjua msaliti na mfuasi wake ni katika hili yeyote anayezungumzia maridhiano ni tapeli na msaliti mkubwa kuliko hata hao waliosimamishwa.Maaji yaachwe yafuate Mkondo wake na hata huyo nayejitutumua kusuluhisha unasuluhisha nini wakati bado taratibu za kichama hazijakamilika kwa wahusika kujieleza kama walivyo agizwa?.
 

ZZK hajawahi kuwa kiongozi wa CDM bali 'kiongozi' wa magamba ndani ya CDM.

Fukuzia mbali ZZK, na kama CDM mtashindwa hili, nasisitiza hamfai kupewa uongozi wa nchi hii. Kuongoza nchi sio lelemama eti. Yaani mnajua kabisa mtu anawasaliti na mnashindwa kumdhibiti halafu mnataka tuwaamini? No way, ZZK should go.

Fukuzia mbali hao, hata kama mkibaki kumi katika chama, as long as you are all loyal to change this country, thats enough. Achana na propaganda za wanaojiita 'wasomi' wa nchi hii. Hawana lolote zaidi ya malundo ya vyeti lakini maarifa ni zero, njaa zimeyatafuna yote.
 
Adui muombeee njaaaa tu,mie nataka wamtimue ZZK,ili huyo mtei mpaka anaingia kaburin asiwe na ndoto za kuiona CDM magogoni
 
“Sasa unaachaje kumsikiliza huyu na ukamsikiliza zaidi mtu ambaye hana sifa za kimageuzi katika ngazi ya kitaifa? Wanaozua tuhuma dhidi ya wenzao hawana hata miaka mitano ndani ya chama?
“Labda nikupe mfano mzuri. Hivi unategemea leo, CCM kwa mfano, eti akina Richard Tambwe Hizza, waanzishe mkakati wa kumng’oa kwenye chama mtu kama Kingunge Ngombale Mwiru kwa madai ni msaliti? Haya mambo yako CHADEMA tu,” alisema mwanasiasa huyo
 
Hivi Chacha Wangwe naye alikuwa msaliti?
 
Usuluhishi gani na watovu wa nidhamu?

Wasaliti wanaandika habari na kuihariri wao wenyewe.

Habari hii itoshe kupuuzwa tu

Mnywa maji ya bendera,hujui lolote wacha kuropoka mpuuzi wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…