Aliokuwa akiwatetea bungeni wamepita maana yake nini, kwamba anakiri walikuwa wabovu? Sasa kwa nini alikuwa anawatetea?
Sidhani kama anaweza kukiri kwamba alikuwa anatetea uozo na watu wabovu, it doesn't make any sense whatsoever.
Ulichosema aidha ni uongo mtupu au umeripoti ndivyo sivyo na alichokisema Pinda.
Waziri Mkuu akisema hivyo legacy yake yote itafutika hapo hapo. Pinda is a lightweight but si mjinga kiasi hicho na sisi sio novices wa siasa kiasi cha kuamini hii claptrap.