Kaibukia huko tena, nilimmiss sana MtikilaHuyu Mtikila naye bana......
Well, 'm impressed 2 hear he said that. Lipumba should swallow his pride & admit the same hata kama ni underground supporter wa sisiem.
Ningependa kama Dr. Slaa angefungua kesi mahakaman petitionin matokeo yaliyochakachuliwa
Katiba hiyo hiyo katika kipengele kimoja kinachohusu tume ya uchaguzi na ambacho kiko nyuma ya pazia kinatamka kuwa;Katiba na Sheria ya Bongo hairuhusu matokeo ya uchaguzi wa urais kupingwa mahakamani. .
Mch. Christopher Mtikila amesema kwamba Dr. Slaa alishinda uchaguzi wa urais kwa 71%, na anamshangaa Dr. Slaa kwa kutokuchukua hatua za kisheria kudai haki yake.
Hata hivyo CHADEMA wametoa tamko rasmi kuwa hawayatambui matokeo ya urais, na hawamtambui Kikwete kama rais wa Tanzania.
source: Mwananchi.
Huyu Mtikila naye bana......
Katiba hiyo hiyo katika kipengele kimoja kinachohusu tume ya uchaguzi na ambacho kiko nyuma ya pazia kinatamka kuwa;
kifungu kidogo na. 1:
Kutakuwa na tume ya uchaguzi itakayo teuliwa na raisi na kuhakikisha kuwa mgombea wa uraisi wa chama tawala anashinda katika kila uchaguzi ambao Tume itasimamia.
Kifungu kidogo na. 2:
Kukiwa na jambo lolote ambalo tume itahitaji ufafanuzi basi tume itarejea kifungu kidogo na. 1 hapo juu!
Namwomba Mtikila akasome kwanza ibara ya 41 (7) ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ndipo aongelee suala hili.