Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 25,558
- 45,877
KweliMchungaji Christopher MTIKILA azidi kupiga msumali wa MOTO katika JENEZA la Chadema mashumbulizi yake yamuelekea Edwin MTEI
"Amemtuhumu mmoja wa wanzilishi na m/kiti wa kwanza wa chadema Edwin MTEI, akidai kuwa ni muasisi wa dhana ya UKABILA na UKANDA katika chama hicho huku m/kiti wa sasa Freeman MBOWE na Katibu wake SLAA wakidaiwa kuboresha mfumo huo KISASA zaidi kwa kuweka NAKSH NAKSH"
Hata kinacho wafukuza Zitto na wenzake ktk Chadema ni matokeo ya kuota mizizi kwa mfumo wa UKABILA na UKANDA ambao hauruhusu mwanachama yoyote kuhoji mapato na matumizi ndai ya chama"
WATANZANIA waelewe Chadema si chama cha siasa na VIONGOZI wake si wanasiasa wa kweli, kwani hawana MAONO wala MALENGO ya kuwakomboa watanzania
KWA UJUMLA NI GENGE LA WALAJI TU!!!
Ndani ya chadema kuna kundi linaitwa "BIG EIGHT " ambalo linaudwa na wazee wa KICHAGA na kiongozi wao mkuu ni Edwin MTEI akisaidiwa na akina Mariale na Ndessamburo,
Hawa ndio wenye chadema yao ambapo moja ya MAJUKUMU yao ni kulinda maslahi ya kichaga ndani ya chama,Kuna Chadema mbili kuna chadema ya CHUMBANI na Chadema ya SEBULENI"
Source gazeti la Umma Tanzania 4/12/2013
---------------------------------
Ahahaa eti ananunua kesiNimechekaje aisee, duh chama chake hakikui!! Nasikia ananunua kesi ikiwa imekushinda
Kamanda upo?Chama chake cha DP ni kama upatu wa yeye na mkewe,
Tangu wasajiliwe hawajawahi kufanya uchaguzi, mtikila ni mwenyekiti wa maisha wa DP,
Mtikila nihuni na ni tapeli wa kimataifa aliyejificha kwenye mgongo wa siasa nchini,
Mchungaji Christopher MTIKILA azidi kupiga msumali wa MOTO katika JENEZA la Chadema mashumbulizi yake yamuelekea Edwin MTEI
"Amemtuhumu mmoja wa wanzilishi na m/kiti wa kwanza wa chadema Edwin MTEI, akidai kuwa ni muasisi wa dhana ya UKABILA na UKANDA katika chama hicho huku m/kiti wa sasa Freeman MBOWE na Katibu wake SLAA wakidaiwa kuboresha mfumo huo KISASA zaidi kwa kuweka NAKSH NAKSH"
Hata kinacho wafukuza Zitto na wenzake ktk Chadema ni matokeo ya kuota mizizi kwa mfumo wa UKABILA na UKANDA ambao hauruhusu mwanachama yoyote kuhoji mapato na matumizi ndai ya chama"
WATANZANIA waelewe Chadema si chama cha siasa na VIONGOZI wake si wanasiasa wa kweli, kwani hawana MAONO wala MALENGO ya kuwakomboa watanzania
KWA UJUMLA NI GENGE LA WALAJI TU!!!
Ndani ya chadema kuna kundi linaitwa "BIG EIGHT " ambalo linaudwa na wazee wa KICHAGA na kiongozi wao mkuu ni Edwin MTEI akisaidiwa na akina Mariale na Ndessamburo,
Hawa ndio wenye chadema yao ambapo moja ya MAJUKUMU yao ni kulinda maslahi ya kichaga ndani ya chama,Kuna Chadema mbili kuna chadema ya CHUMBANI na Chadema ya SEBULENI"
Source gazeti la Umma Tanzania 4/12/2013
---------------------------------
Wanasema Mbowe akitoka chadema inakufa! Kwakuwa ukiacha Mbowe wengine wote ni mamluki na wananunulika kirahisi. Yani unaweza kupiga hesabu kwamba akifa mbowe chadema nayo inazikwa
Huyu ndo alikuwa mpiganaji. Siyo hawa wanaofanya madudu wakiitwa mahakamani, wanasingizia ugonjwa. Wengine wanatoroka na kutaka msaada wa kurudi, wengine oooh! tunawindwa. Mtikila alishasema akiingia Mahabusu, anawapuga siasa wenzake mpaka anatolewa.Huyu mzee ni kati ya wale wazee wachumia tumbo, kila kukicha na mafaili yake mahakamani, hadi wale makarani wa mahakamani wameshakachoka haka ka dingi. kesi haziishagi miaka nenda rudi.
Nipo kada wa lumumba za masiku?Kamanda upo?