Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,572
- 139,979
Mtikila hajawahi kupeleka kesi mahakamani akashindwa! Fisadi Lowasa jiandae kuwajibishwa
Mtikila hajawahi kupeleka kesi mahakamani akashindwa! Fisadi Lowasa jiandae kuwajibishwa
Kukwepa kodi,hiyo no kazi ya TRA. Mtikila aishtaki TRA kwa kushindwa kumkamata Lowassa. Mtikila Ana matatizo ya akili nasikia. Siyo tu nasikia,nimeshuhudia katika mikutano yake. Faulty reasoning. Anaongea normally,halafu kila baada ya PRECISELY ten minutes anaongea nonsense.
Mkuu nakushauri kwa Mara nyingine why usikae kimya?Nani mwenye mamlaka ya kukusanya kodi nchi hii?mkuu suppose mtikila ashinde kesi,huoni kama hii ni aibu kwa serikali kuliko Lowasa ?about ufisadi ni kosa la jinai,unataka kutuaminisha Kuwa serikali ya ccm ina sheria tofauti yaani mwizi wa kuku anashitakiwa na kufungwa na mafisadi sheria inawaruhusu kugombea urais.shame on you and ccmMtikila hajawahi kupeleka kesi mahakamani akashindwa! Fisadi Lowasa jiandae kuwajibishwa
Meshawajibisha wangapi ccm kwakutoa rushwaMtikila hajawahi kupeleka kesi mahakamani akashindwa! Fisadi Lowasa jiandae kuwajibishwa
Hayo ni kwa upande wa kushoto,upande mwingine Mtikila amesema kuwa utaratatibu wa kwenda mahakamani kuweka pingamizi kwa wagombea wa ccm upo pale pale,amedai sababu ya pingamizi ni kuanza kampeni kabla ya muda ulioruhusiwa kisheria,amesema ushahidi upo wa kutosha kutoka ndani na nje ya ccm yenyeweMtikila hajawahi kupeleka kesi mahakamani akashindwa! Fisadi Lowasa jiandae kuwajibishwa
Je ccm pesa iliyopata kwa kuuza form kwa wagon beta urais ililipa kodi ya mapato?heee! kwan wale wnzake walilipa kodi? kwan kutia nia kugombea ni biashara ulipie kodi TRA? anatumiwa vbaya huyu
Mtikila hajawahi kupeleka kesi mahakamani akashindwa! Fisadi Lowasa jiandae kuwajibishwa
Huyo ni layman....asitutishe...awahi mahakamani haraka...sisi tutakuja...maana naona amesahau ya TARIME.
Kwan membe alilipa kodi?
Mtikila hajawahi kupeleka kesi mahakamani akashindwa! Fisadi Lowasa jiandae kuwajibishwa