Mtikila: Dr Slaa na Prof Lipumba ni wazalendo, Lowassa hatoshi Urais

Wanasema CCM ina mfumo mbovu, sijui huu mfumo wa kifamilia ndiyo mfumo mzuri zaidi kuendeshea nchi! Kila unayemgusa ndani ya chama chao ana uhusiano na mtu mwingine wa ndani ya chama kifamilia. wakipewa nchi utawala utakua wa kifamilia pia, hawana jipya kura zetu wataishia kuziota njozini lakini siyo kwenye karatasi ya kupigia kura
 
JFK wabongo hebu nisaidie. Hii habari kuwa ma-mvi alichafua jukwaa ni kweli? Kama kuna thread hapa kuhusu hilo,ipandishe niisome

Bato,uzi wa aina hiyo hauwezi kufunguliwa ukabaki hata nusu sekunde maana ni ngumu kupata ushahidi wa kitu chenyewe. Ila kuna ushahidi wa kimazingira kwamba mgombea aliliacha jukwaa mara kadhaa jambo lilotafsiriwa kuwa alienda haja, na mara ya mwisho akarudi amebadilisha suruali, hill nalo likatafsiriwa kuwa suruari imechafuka. Kazia hiyo ilimtokea Chato kwa Magufuli. Ukiweza search thread ya mgombea kushindwa kuhutubia Geita.
 
Last edited by a moderator:
Mtikila yupo sahihi kusema kua lowas htoshi kua rais, sababu hata ukimsikiliza sumaye alipotoa sifa za rais wakati anatangaza mia, sifa mojawapo ilikua ni swala la afya. wote tunajua kua ugonjwa ni kitu kibaya na mtu akiwa anaumwa hata uwezo wake wa kufikiri unapungua, hivyo basi, lowasa hawezi kuwa rais, afya yake sio imara uhimili mikikimikiki ya uais, tunahitaji mtu ataayeweza kutoa maamuzi baada ya kutafakari kwa kina. Ni matumaini yangu kuwa watanzania tutafanya maamuzi yenye busara.
 
Mtikila ni mtu ambaye daima hajitambui na Tanzania ya sasa inamshangaa na mbaya zaidi amebaki kuwa mtu wa mazoea hana muda wa kufikiri.
 
Mtikila ni mtu ambaye daima hajitambui na Tanzania ya sasa inamshangaa na mbaya zaidi amebaki kuwa mtu wa mazoea hana muda wa kufikiri,Shauri yake nchi inasonga mbele.
 
Mnakumbuka kuwa huyo ndiye aliyeleta sera za kibaguzi za magabachori?

Ni Mtikila huyu huyu aliyeleta sera za kibaguzi za magabachori au mwingine? Watoto wetu wanaharibika kwa munga kwa sababu ya mfumo mbovu, hao wanaoutetea mfumo huo ndio wazalendo. Kenyeta aliwaambia wakenya anayesema yeye mzee wakamwulize mama ngina(mama yake uhuru),kwani yeye anang'ang'ania lowasa mgonjw kwani yeye ni dr. Au mke wake? Yeye kasema hana kisukari, presha,wala stroke na maoigo yake 120/80. Apuuzwe kwa kuwa ni mbaguzi
 
Tunajua Mtikila anavyotumika na watu fulani hivi na hii ni propaganda ya CCM ambayo haitabadili msimamo wa Watanzania kuamua Mabadiliko mwaka huu.
 
Level za maisha zinatofautiana sana kati yako unayesoma thread ya mtikila na mtikila mwenyewe. Mimi ntamchagua lowassa kwa kuwa mimi si level ya mtikila. Mtikila ni tajiri so haitaji raisi wa kumwondolea umasikini. So in fact kwa level yake yuko sahihi.
 
Mtikila anaongea fact kweli,ungiangalia kwa sasa ukawa hata clips za mgombea wao hawaonyeshi,jamaa hata hajulikani anaongea nini maskini,wanaokwenda kwenye mikutano wanasikitika sana

utajua October 25
 
Mimi nawashangaa watu walioelimika na wengine waliobobea kwenye mageuzi kwa kuendelea kumkumbatia LOWASSA.

Swali langu kwao ni kuwa, hivi siku zote walikuwa wanafanya nini kama walikuwa wanasubiri MZOGA WA CCM NDIO UJE UWAONGOZE?

Soma alama za nyakati. Soma mahitaji ya wananchi, using'ang'anize yako binafsi kwa ajili ya mazoea. Usomi usiyokusaidia kuchambua na kutambua mwenendo wa nchi haukufikia malengo yake kwako, yaani kuelimika.
 
Lipumba yule aliemwokoa jk asishindwe 2010 kwa udini leo ndo amekua mpinzani wa kweli. dooh haya ni maigizo.
 
Wenzake anaowasifia uzalendo wamelipwa mabilioni naye atueleze amelipwa ngapi kwa kazi hii ya kuisadia CCM isizame?
 
Miaka ya 90 utawala wa mzee Mwinyi ukiwa umeyumba sana na Mtikila akiwa juu na chati ya Gabacho ri aliitwa na 'wakuu' wasikie kama alikuwa na uwezo wa kuongeza nchi! Wakastuka ni material fake kabisa! Toka wakati huo huwa namuona ni takataka tu na sijui kwa nini watawala wa CCM wanamtumia!

CCM sasa hivi hata wakiambiwa wale kinyesi kuepuka kipigo cha 25/10/2015 watakula. Si unajua mfa maji haishi kutapatapa hata akiona jani atalishika akiamini litamuokoa.
 
Mchungaji Mtikila amepasua jipu kuhusu UKAWA kwamba HAWANA SIFA YA KUONGOZA NCHI HII, kauli hiyo aliitoa jana kwenye kipindi cha Tuongee Asubuhi inayorushwa Star TV.
 
wewe unaye andika ujinga uhu yaonekana bado unawategemea wazazi. Ukianza maisha ya kujitegemea utaacha kuandika ujinga wa kiishabikia ccm.
 
wewe unaye andika ujinga uhu yaonekana bado unawategemea wazazi. Ukianza maisha ya kujitegemea utaacha kuandika ujinga wa kiishabikia ccm.

Wewe ulichoandika ndo point? wewe kubwa jinga kweli, nipe ushahidi kwamba wewe unajitegemea na mimi sijitegemei, ukishindwa basi wewe ni MPUMBAVU NA LOFA
 
Back
Top Bottom