Mtihani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtihani

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Matti, Mar 21, 2011.

 1. Matti

  Matti Member

  #1
  Mar 21, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 95
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Mtihani wa maarifa ya dunia:
  1.Kama hela haioti kwenye miti, kwanini bank zina matawi?
  2.Kwanini gundi haigandi kwenye chupa yake?
  3.Kama tunatakiwa
  tusi-drive wakati tumekunywa, kwa nini bar kuna parking?
  4.Kama neno
  abbreviation linamaanisha ufupisho, kwa nini lenyewe ni refu hivyo?
  5.Kama tunatakiwa
  kufanya sex ndani ya ndoa tu, Kwanini tunabalehe kabla ya kufunga ndoa?

  Nipe majibu.
   
 2. LD

  LD JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mi mwenyewe na ishangaa hiyo namba tano.
  Au tumepandikiziwa hiyo Imani na wazungu nini?
   
 3. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #3
  Mar 21, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Ha ha ha ha ha nilikuwa sijaiona nimecheka kweli leo ha ha ha ha u made my day!!!!
   
 4. aye

  aye JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,987
  Likes Received: 249
  Trophy Points: 160
  safi iyoooo
   
 5. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #5
  Mar 21, 2011
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,866
  Trophy Points: 280
  hiyo namba tano lazima niingie mahabara ili niwe scientist wa kwanza mTZ maana huku kote washazindua, lazima nijue kwanini hii kitu
   
 6. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #6
  Mar 22, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Fanya faster wasije wakakuwahi
   
 7. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #7
  Mar 22, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  1. Hela ni karatasi... Na karatasi zinatokana na miti.. Miti ina matawi!..
  2. Ikiwa ndani ya chupa haiwi gundi.. Inakua gundi ukishagundika sehemu!...
  3. Parking sio kwa ajili ya walevi... Ni kwa ajili ya magari, Kwani yanakunywa!?...
  4. Hata mi nashangaa!..
  5. Unaweza ukaoa hata kabla...
   
 8. Mkwaruzo

  Mkwaruzo JF-Expert Member

  #8
  Mar 22, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  5. Hata katika sanaa huwezi kuingia kabla ya kujigundua kuwa una kipaji au huna. Hivyo tunabelehe kabla ili kujitathmini kama tunaweza kutoa huduma au laa. Si mnajuwa kujigundua umelala doro ndani ya ndoa ni aibu???
   
Loading...