S Sangomwile JF-Expert Member Joined Aug 17, 2012 Posts 3,227 Reaction score 1,105 Jan 15, 2015 #21 Wakuu mnaongea utani au?mbona kwangu namuona bata na wala sio paka!
SupuyaPweza JF-Expert Member Joined Oct 22, 2014 Posts 914 Reaction score 472 Jan 15, 2015 #22 mi naona kama huu ni mtihani wa mwisho kwa paka... sijui wa polisi nae au wa raia Mola ajua...
zunya JF-Expert Member Joined Sep 2, 2014 Posts 1,529 Reaction score 1,074 Jan 16, 2015 #23 Kweli ukishangaa ya firauni, utaona ya Mussa... Mbwa interview....!!?
MZIMU JF-Expert Member Joined Apr 29, 2011 Posts 4,058 Reaction score 1,377 Jan 16, 2015 #24 Hii sio mimbwa koko kweli?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,057 Reaction score 871,195 Jan 16, 2015 #25 Pendael24 said: Ila kuna mmoja hapo naona anamtamani kweli amrukie Click to expand... Atafeli mtihani
Pendael24 said: Ila kuna mmoja hapo naona anamtamani kweli amrukie Click to expand... Atafeli mtihani
mbongo_halisi JF-Expert Member Joined Apr 16, 2010 Posts 7,756 Reaction score 6,293 Jan 16, 2015 #26 Q Man said: Police dogs final test- Self control View attachment 218730 Click to expand... Hii ni photoshop au? Yaani paka anawapitia mbele wao wanamuangalia tu bila hata kutokwa na udenda wa uchu? Hawa si mbwa kweli, watakuwa wa kichina tu.
Q Man said: Police dogs final test- Self control View attachment 218730 Click to expand... Hii ni photoshop au? Yaani paka anawapitia mbele wao wanamuangalia tu bila hata kutokwa na udenda wa uchu? Hawa si mbwa kweli, watakuwa wa kichina tu.