hapo chabo ni rahisi sana mwache mwanafunzi aitwe mwanafunzi..............wazee wa chabo wanapiga bila ya shida yeyote.............watu wana kila mbinu za kupiga chabo we acha tu.
hapo chabo haipigwi kwa kuonyeshana answer sheet ..............bali mnaongea na mwenzako unamuuliza swali fulani jibu lake nini uku macho yakiwa busy kwenye karatasi yako kama siyo wewe vile .................naye mwenzako anakujibu kwa kuongea...............mana hii style haina evedence kama nilikuwa naibia unaweza sema najiongelea mwenyewe.
Mimi nilishafanya mitihani huko kwao, hapo kila mstari ni darasa tofauti kwahiyo utakuta mtihani wako unafana na wambele yako na nyuma yako na yule wliekua baada ya mistari milwili au mitatu pembeni...Very good principle, kila mtu anajitegemea hapo. hakuna vishawishi.