Wakuu salama?
Leo niko na majonzi sana kwani nimepokea matokeo yangu ya test ya INTERNATIONAL LANGUAGE TEATING SYSTEM (ielts) na kupata overall 6.5. Lengo langu ni 7 kwa kila module, je nifanyeje?
Nataka kurudia tena mtihani mwenzi wa6 au wa7 na gharama yake imepanda toka 555,000= ya awali na sasa ni 590,000/=
Kwa kweli nimechanganyikiwa kabisa, hii ni mara yangu ya kwanza kufanya GENERAL PAPER la ielts.
Naomba uzoefu wenyu wakuu nifanyeje nitoboe?