Mtihani wa form wa Wavuja

jrmlaurence

Member
Dec 2, 2010
80
57
MAELEZO: UNAWEZA KUJIBU MASWALI YOTE UKITAKA, LAKINI SWALI LA KWANZA LINA MAKSI 50, SWALI LA PILI LINA MAKSI 40, MASWALI MENGINE MAKSI ZITATEGEMEA KAMA UMEPATA MANGAPI LAKINI HAZIWI CHINI YA 40.

SECTION A
1) Je, Bara la Afrika ni bara au siyo bara?


2) Je Afrika ni bara au ni nchi? Kama ni bara , Je bara hilo linaitwaje?


3) Kati ya jua na mwezi nini kinaleta joto?


SECTION B


1) Rais wa Tanzania ni Ja… Kikwe. Jaza)


2). Je samaki ana weza kuendesha baiskeli? Ndio/ Hapana


3). Imba wimbo wa Taifa kimoyomoyo kama umeweza, andika Nimeweza
 
Back
Top Bottom