Mtihani mkubwa katika maisha yangu

Mtihani mkubwa katika maisha yangu

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,244
Nilipokuwa nachungulia kwa nje kupitia dirishani mke wangu akiwa anaosha vyombo kwa njee. Alipita kijana moja, ile mke wangu kumuona tu, akawa kama kabanwa na mkojo. Mara glass iliyomkononi mwake chini. Hawakuongea kitu chochote, kijana yeye alikuwa na hamsini zake.
Wadau, nashidwa nianzie wapi au nipige kimya tu kama sijaona kitu.
 
Acha kujiua na PRESSURE!!!! Ukute yule ni kidumu cha mkeo, sasa mkeo baada ya kunaswa wale watu, kaamua kukimwaga, chenyewe hakitaki kusika mambo ya kumwagwa!!!!! KUMKOMOA MKEO KIKAMTISHA KITAKUJA KUKWAMBIA A TO Z, BASI MKEO KUMUONA ANAPITA AKAJUA NDO MSAFARA WA WAASI USHATINGA KUVURUGA VURUGA HAPO!!!!! Lazima glass imdondoke!!!!!! KUMBE KIJANA ALIKUWA ANABEEP TU!!!!! SHTUKA!!!!!!!!!!
 
Piga kimya mzee fanya uchunguzi anza taratiibu umfaham kwanza huyo kijana na mienendo yake lakini ukikulupuka tu utshindwa kujua ukweli. he he kuibiwa kunauma sana lakini we hujaibiwa unahisi kuibiwa
 
*USHAURI WANGU*
Subira dawa muhimu
Subira itakutibu
Subira sawa mwalimu
Subiri utahitimu

Subiri penye mashaka
Subira itakuhuisha
Subiri penye madhila
Subira ina maisha

Subiri nduli apite
Subiri moyo usite
Subiri usikurupuke
Subira huleta hekima

Subiri penye makosa
Subiri ukichunguza
Subira njema fadhila
Subira itakukinga.
 
si ukubali tu unasaidiwa mzigo sasa shida ya nini? bado umpongeze jamaa kwani ameondoka nayo si ipo palepale ile ni kama mbaazi unachota halafu ukitingisha bakuli inarudi kama mpya

Tafuta mganga wa kuganda ndio dawa kama hutaki kusaidiwa
 
Mkeo akiwa anapepesa macho nje jua ni udhaifu wako, unashindwa kummudu!!! Mwanamke si wa flaisi wazi kama wanaume!!! Ukimmudu vema hatamani hata nje!!! Weka mambo yako sawa!! Vinginevyo vidumu mwishowe vitaukuwa debe!!!
 
[size=4 said:
kwamtoro[/size];5019552]nilipokuwa nachungulia kwa nje kupitia dirishani mke wangu akiwa anaosha vyombo kwa njee. Alipita kijana moja, ile mke wangu kumuona tu, akawa kama kabanwa na mkojo. Mara glass iliyomkononi mwake chini. Hawakuongea kitu chochote, kijana yeye alikuwa na hamsini zake.
wadau, nashidwa nianzie wapi au nipige kimya tu kama sijaona kitu.

chief...

mie huwa napenda-ga kupita katikati ya mistari na maneno watu wanayoandika hapa...naomba nichambue kila nilichokiona:-

1- unaitwa kwamtoro-hapo nilipobold na black- hii inaashiria either ulikotokea/ulikokulia/unakoishi...soo naamini unaishi karibu na msikiti wa kwa-mtoro

2- hapo nilipobold red- inaonyesha usivyo-mwamini mkeo au kujiamini mwenyewe mpaka ukaamua kumpiga chabo/kozi

3-hapo nilipobold na blue color napata wasiwasi na hisia zako..wewe mwanaume huwezi kujua hisia za mwanamke aliyebanwa na mkojo...je kama alikuwa anasumbuliwa na tumbo la kike ulijuwaje?

4-hapo nilipobold na magenta color...nadhani hata uelewa wako jinsi vyombo vinavyokoshwa ni mdogo sana...vyombo hukoshwa kwa sabuni na matrial ya glass ukiitia sabuni huteleza sana ndio maana nyumbani vyombo vya glass/udongo huvunjika marakwamara na madada wa kazi huficha taarifa hizo....kwa kuwa hawakuongea na kijana jambo lolote inaashiria kuwa kijana hausiki na kuvunjika kwa glass.

kuhusu uanzie wapi...hakuna cha kuanza nacho na wala huna hoja ya kusema tukushauri uanzie hapa

ushauri mbadala...acha kumpiga chabo mkeo na kumuhisi kuwa anagongwa na masela wa mtaa..jambo la kufanya usipende kukaakaa nyumbani na mkeo ..toka kapige deals na wanaume wenzio kitaa nyumbani rudi jioni muda ushasogea unagonga tv news unawahi kupumzika chumbani na mkeo.
 
nilipokuwa nachungulia kwa nje kupitia dirishani mke wangu akiwa anaosha vyombo kwa njee. Alipita kijana moja, ile mke wangu kumuona tu, akawa kama kabanwa na mkojo. Mara glass iliyomkononi mwake chini. Hawakuongea kitu chochote, kijana yeye alikuwa na hamsini zake.
Wadau, nashidwa nianzie wapi au nipige kimya tu kama sijaona kitu.

may be alikua ni x wake u never know
besides wewe si tayari ushamuoa??sasa was was wako wa nini??
Au haum kazi fresh mkeo
 
Nilipokuwa nachungulia kwa nje kupitia dirishani mke wangu akiwa anaosha vyombo kwa njee. Alipita kijana moja, ile mke wangu kumuona tu, akawa kama kabanwa na mkojo. Mara glass iliyomkononi mwake chini. Hawakuongea kitu chochote, kijana yeye alikuwa na hamsini zake.
Wadau, nashidwa nianzie wapi au nipige kimya tu kama sijaona kitu.

Kwanini umruhusu mke wako aoshe vyombo kwa nje, na inawezekana alikua anaosha upande wa barabarani bilashaka!
Hii huwa naiona maeneo ya tandale huko, asubuhi wake za watu wanakaa pembeni mwa barabara wanaosha vyombo!!

Kwa maoni yangu mimi nikwamba huenda alikua amekaa vibaya kwahiyo alikua anajaribu kujiweka vizuri ili kukufichia
mali yako, jambo ambalo lilimfanya adondoshe glass!
Hakuna dalili ya kuibiwa hapo, tena mkeo anakupenda na ana heshima.
 
Nilipokuwa nachungulia kwa nje kupitia dirishani mke wangu akiwa anaosha vyombo kwa njee. Alipita kijana moja, ile mke wangu kumuona tu, akawa kama kabanwa na mkojo. Mara glass iliyomkononi mwake chini. Hawakuongea kitu chochote, kijana yeye alikuwa na hamsini zake.
Wadau, nashidwa nianzie wapi au nipige kimya tu kama sijaona kitu.

kwa nini uongozwe na HISIA badala ya UHALISIA?
huyo mkeo ni kiziwi hata ushindwe kumuuliza yapi yaliyomsibu hata BIRAULI ikamponyoka toka mwake mikononi?
 
Nilipokuwa nachungulia kwa nje kupitia dirishani mke wangu akiwa anaosha vyombo kwa njee. Alipita kijana moja, ile mke wangu kumuona tu, akawa kama kabanwa na mkojo. Mara glass iliyomkononi mwake chini. Hawakuongea kitu chochote, kijana yeye alikuwa na hamsini zake.
Wadau, nashidwa nianzie wapi au nipige kimya tu kama sijaona kitu.

huna kazi za kufanya nini? wewe inaonekana unatabia ya kutoka nje sana, kwa maelezo yako, halafu unatusumbua tukupe ushauri wa nini hapo, sasa glass imedodoka unaihusisha na mpita njia, in short labda huyo mkeo hajawahi kuona mtu kama huyo kwa jinsi alivyo kuwa kumbuka kitabu cha MFALME JUHA kuhusu yule mjenzi, mchanganya udongo na mtia maji.
 
Nilipokuwa nachungulia kwa nje kupitia dirishani mke wangu akiwa anaosha vyombo kwa njee. Alipita kijana moja, ile mke wangu kumuona tu, akawa kama kabanwa na mkojo. Mara glass iliyomkononi mwake chini. Hawakuongea kitu chochote, kijana yeye alikuwa na hamsini zake.
Wadau, nashidwa nianzie wapi au nipige kimya tu kama sijaona kitu.
Acha huo wivu wa kijinga. Kwani mara ngapi watu wamevunja glasi? Je mara zote huwa wamewaona vijana???
 
Acha huo wivu wa kijinga. Kwani mara ngapi watu wamevunja glasi? Je mara zote huwa wamewaona vijana???
Huwezi kumwambia aache wivu easy like that madam,assume same situation happen to u're boy or husband
anamuona binti anakatiza anapata wasiwasi mpaka anadondosha may be simu au laptop,how are u going to feel?
Obviously terrible with alot of questions without straight answers!!Mia
 
kwanini umruhusu mke wako aoshe vyombo kwa nje, na inawezekana alikua anaosha upande wa barabarani bilashaka!
Hii huwa naiona maeneo ya tandale huko, asubuhi wake za watu wanakaa pembeni mwa barabara wanaosha vyombo!!

Kwa maoni yangu mimi nikwamba huenda alikua amekaa vibaya kwahiyo alikua anajaribu kujiweka vizuri ili kukufichia
mali yako, jambo ambalo lilimfanya adondoshe glass!
Hakuna dalili ya kuibiwa hapo, tena mkeo anakupenda na ana heshima.

exactly...!!

Kwanza mimi time ya kumchunguza mchunguza mke wangu sina nayo kabisa

me nahakikisha kila kile anachostahiki kupata nampatia

me dume la kiafrika kweli kweli,,namvisha,namlisha,namlaza,nampa kila kitu stahiki

last but not least pipi ya kijiti ni hadi aseme yeye basi

kila anapohitaji inakua pale kwa ajili yake,,wala haihitaji starter..
 
kwanini umruhusu mke wako aoshe vyombo kwa nje, na inawezekana alikua anaosha upande wa barabarani bilashaka!
Hii huwa naiona maeneo ya tandale huko, asubuhi wake za watu wanakaa pembeni mwa barabara wanaosha vyombo!!

Kwa maoni yangu mimi nikwamba huenda alikua amekaa vibaya kwahiyo alikua anajaribu kujiweka vizuri ili kukufichia
mali yako, jambo ambalo lilimfanya adondoshe glass!
Hakuna dalili ya kuibiwa hapo, tena mkeo anakupenda na ana heshima.

exactly,,,!!
Af then mwanaume wa ukweli unamchunguza chunguza mkeo ya nini??
 
Dah..pole sana kaka...sitapita tena mtaani kwenu...ondoa wasiwasi
 
sasa kwani ww wasiwasi wako ni nn, glass ilivunjika? hizo glass muziachege kabatini tumieni za plastic
 
Back
Top Bottom