Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,392
- 7,863
Kipi aanze kuchukua mkate au funguo?
Kipi aanze kuchukua mkate au funguo?View attachment 1484577
Ana njaa ya kufa mtu alafu hako kamti kanaweza kuvunjika muda wowote!Huyo inaonyesha ni jinsi gani alivyo boya. maana funguo ipo karibu zaidi ya huo mkate na funguo hapo ndio kila kitu maana itamfanya awe huru na mkate wao anakula huku akisepa zake.
Njaa haina baunsa mkuu mtego mkali sana huo akichukua funguo imekula kwake!Wengi watamuona jamaa ni mjinga lakini mm namuona kama shujaa anayetaka kuokoa maisha yake, jamani njaa ni mbaya sana tena zaidi ya sana. Ukiwa na njaa hutoweza kuongea (kuongea ni jambo rahisi) lkn huyo huyo ukimwambia akapike chakula atapata nguvu za kwenda kupika (kupika ni jambo gumu kuzidi la kuongea)
Funguo inaweza kuwa si yenyewe lkn mkate Ni halisi jamaa ameona si busara kubet anapaswa kufanya chenye hakika.Njaa haina baunsa mkuu mtego mkali sana huo akichukua funguo imekula kwake!
ukifikiria kwa kuiangalia picha unaweza ukotoa maelezo mepesi ila ukiingia deep zaidi picha imebeba ujumbe mzito hasa kwetu sisi watu wa hali ya chini some time njaa zinafanya watu wachini tukashindwa kuzifungulia milango fursa zinazofika milangoni mwetu kwa sababu ya njaaKipi aanze kuchukua mkate au funguo?View attachment 1484577