Mtihani kwa mwenyekiti BMK

Mtihani kwa mwenyekiti BMK

andrew tezie

Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
13
Reaction score
2
BMK lilianza kwa kasoro za hapa na pale lakini kubwa zaidi ni kitendo cha kundi linaloitwa UKAWA kuamua kususia mchakato mzima.Je matokeo yatakayopatikana baada ya BMK kumaliza mchakato yatakuwa halali?Kwa nini baadhi ya watu wanakosa usingizi kwa ajili ya UKAWA?Nasikia watapita kila watakapokanyaga miguu UKAWA ili kuweka mambo sawa.UKAWA baada ya kutoka Bungeni hawana kazi ya kufanya kwa sasa ajabu hata ninyi wenye majukumu lukuki mnataka kuacha kazi zenu muanze kufukuzana na UKAWA.Haya nani wanataka kupambana na UKAWA je ni Chama au Serikali na kwa sababu zipi?Huko kutakuwa ni kuchezea fedha za walipa kodi au wanachama tafadhali tufanyeni mambo yenye manufaa kuliko ushindani usioeleweka
 
kimsingi sina tatizo na mawazo yako sahihi lakini pendelea kuandika ulicho kusudia kisha ndio utoe kichwa cha habari ndani ya mada yako.ahsante
viongozi wa serkali kufukuzana na ukawa nchi nzima ni muendelezo wa utumbo wa BMK. kinachotakiwa sasa ni maridhiano.
 
Back
Top Bottom