Nina uhakika hujamuelewa mtaka ushauri, maana ushauri wako na kilichomaanishwa yani tofauti sana.ASIRUDIE MTIHANI
Mtafutie chuo akasome course yoyote certificate. Vyuo vilivyo chini ya NACTE
Kuna course nyingi mfano maendeleo ya jamii, biashara, na zinginezo.
Akimaliza certificate aende diploma then degree.
Kwan muhimbili waliorudia mitihan hawasomi me nina mfano mtu alirudia mtihan wa form 6 akafaulu saiv yuko MUHASDavid Harvey muhimbili hii hii au unasemea nyingine?? Muhimbili kwa PC! Mkuu acha kutudharirisha! Ok anaitwa nan 2muangalie hapa kwenye database? Maan MD Jumla Wapo 412 Mwaka 1 mpak wa 5! Tena unasema MD! Mkuu hapa sio mipango punguza uongo.
Samahani mkuu nina mdogo wangu kapata four ya point 28 kwa arts anaweza pata chuo gani cha veta kwa mwanza asomee ufundi long course na kozi ipi inamfaaa???Chuo cha ufundi mkuu ndio mpango akitoka hapo ana fani hata asipoajiriwa Nazi hakosi kitaa...tena ka.a atasomea course za umeme na uashi mpango sana
acha kuvuta bangi chooni tafuta sehemu yenye hewa safi ndo uvuteASIRUDIE MTIHANI
Mtafutie chuo akasome course yoyote certificate. Vyuo vilivyo chini ya NACTE
Kuna course nyingi mfano maendeleo ya jamii, biashara, na zinginezo.
Akimaliza certificate aende diploma then degree.
Kumbe inawezekana hiiMrudishe kidato cha tatu