ngakotecture
JF-Expert Member
- Dec 30, 2014
- 2,445
- 2,561
Habari wakuu katika jukwaa la elimu,
Nina shida moja nina mdogo wangu wa kike amefanya mtihani wa kidato cha nne mwaka jana matokeo yametoka amepata zero sasa amekaa home lakini sasa ivi anajutia na anaomba asome sasa nishaurini kutokana na matokeo yake asome fani gani au arudie mtihani na kama kurudia masomo napitia mchakato upi ili kumuendeleza.