Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,777
Mtiania wa Udiwani kata ya Zingiziwa, Wilaya ya Ilala, Mkoa wa Dar es Salaam, Maganga Maige akiwaomba kura wajumbe wa mkutano mkuu Kata ya Zingiziwa. Watia nia wa ubunge na udiwani leo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanapita katika kata mbalimbali kuomba kura.