GE2025 Mtia nia Ubunge Arusha: Mikopo ya kausha damu tutaifuta, najua mahali nitapata pesa zisizokuwa na riba

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,779
Wakuu

Mtia nia wa ubunge kupitia CCM Hussein Gonge akiomba kura kwa wajumbe ameahidi kuifuta mikopo ya kausha damu huku akieleza kuwa anfahamu mahali atakapotoa fedha zisizokuwa na riba.
 
Hahahahaa mwanzo wa uongo huu, hakuna kazi hapo 😂😂😂
 
Mikopo ambayo haina riba inawezekana kuna mbunge anaitwa Kagasheki alikuwa anatoa mikopo Kama hiyo kule Bukoba ni issue inayowezekana
Utacover vipi cost za kutoa mikopo + mishahara ya wafanyakazi, + utacover vipi inflation? Hii issue haina matokeo in long run
 
Mkuu hela si wananchi wenyewe ni swala la kuzizungusha .

Kwakuwa pale Halmshahuri Kama ukibana vizuri bila kuruhusu mianya ya wizi kuna hela nyingi Sana Ila inaibiwa na wanasiasa na watumishi

Kwahiyo mkiwa na mikakati mnaweza kuwapa watu mikopo bila hiyo riba
 
Kwa hio mtakuwa mchota hela sehemu nyingine mnaweka tu kwenye hio mikopo? Hio taasisi ya mikopo itabidi uajiri watu wa kuishughulikia, utawalipaje?
Mwaka wa kwanza utakuwa na hela, mwaka wa 5 zitafika ? Jua kuna watu watachukua 59M kisha watakufa na hela walikuwa wanalimia, huna cha kuwafanya, je utacover vipi ?
 
Mikopo ina bima lakini
 
Back
Top Bottom