kuna sehem huwa napita nauonaga ngoja leo nipite nikikuta bado upo ntakujuza no 0715575852Habarbya asubuhi ndg zangu,
Kuna mti aina ya mtopetope unafanana sana na mstafeli nawengne huuita mstafeli wa kiswahili ila wenyewe hutoa matunda madogo na matunda yake hyana vipele juu kama ulivyo mstafeli
Ndg zabgu naomben kwa mwenye kujua ulipo kwa hapa dar es salaam anielekeze niijie
Ant cancerTunda lake linaongeza nn mbona umekuwa mchoyo kufafanua uwasaidie na wadau wengine!
Majani ya kazi gani....nnao tabataNahitaji majani yake