nabiidaniel
JF-Expert Member
- Feb 25, 2014
- 2,087
- 2,855
Mti aina ya msufi ulioanguka miaka mitatu iliyopita, na baadae kuungua na moto wilayani Uyui mkoani Tabora, leo mchana katika hali ya maajabu umesimama wenyewe huku baadhi ya wananchi wakishuhudia.
Baadhi ya wananchi wameurukia ili kupata angalau gamba lake kwa imani za kishirikina.
Unaouita upuuzi umetangazwa na redio yako ya Taifa vipindi vyote vya habari, reporta na mkuu wa wilaya wameushuhudia huo mti. Sijui na we nikuite mpuuzi?Uyui Kubwa sana hebu tuambie sehemu husika kisha tuwaulize wenyeji, pili ulikuwa unanyenyuka taratibu au fasta? kwa jinsi niwajuavyo wakazi wa Tabora mti hauwezi kuanguka na usigeuzwe kuni kwa kipindi cha miaka mitatu unless uniambie uliangukia karibu na jeshi la Anga njia ya kwenda kakola,
nitakuwa wa mwisho kuamini huu upuuzi
Khaaaaaa!!!!........hebu nisimulieni vizuri..........ilikuwaje na sababu ni nini.......?........na kama mnaweza kutupiamo hata tupicha tuwili tutatu hivi.............
nakutumia whatsappKhaaaaaa!!!!........hebu nisimulieni vizuri..........ilikuwaje na sababu ni nini.......?........na kama mnaweza kutupiamo hata tupicha tuwili tutatu hivi.............
ulisema SHIKAMOOO sita, nimekuamshia mikono kwa kupata 2/3.Huo mti haujaongea chochote wakati unasimama.?
kama ni TBC inapotezea mchakato wa katiba kwani wamekosa majibu ni vipi marehemu Shida alipiga kura, halafu ni kivipi Zakhia Meghji amepiga kura Zanzibar, sasa wanapotezea kwa ushirikina wao. Elimu ni muhimu sana kwa watanzania wasiendelee kudanganywa na hawa majangili.