Wakuu.
Ni kilio Cha jamaa angu kilisikika huku akionekana kughadhabika Sana akidai kuwa.
Platform maarufu ya forex ijulikanayo kwa jina la MTFE imewaliza watu baada ya pesa kukataa kutoka.
Kila walijaribu Kutoa pesa wanaambiwa Kuna tatizo limejitokeza wajaribu tena baada ya siku saba, lakini siku saba zimeisha na hakuna matumaini yoyote bado tatizo ni lilelile.
Kama ilivyo kwa platform zingine ambazo hutoweka na pesa za watu, MTFE nayo imefanya hivo.
tuwaombe vijana wenzetu wa kitanzania waliokuwa wamewekeza dola nyingi kwa ndoto kubwa.
Omba isikukute.
Sema mimi jamaa zangu niliwatahadharisha kitambo wakawa wananilingishia kwenye ubao inasoma 1000$ nikasema we uliona wapi mtu unaweka hela tu af izae yenywe🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Mnaotapeli endeleeni kutapeli maana wabongo ni vichwa ngumu