a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 3,345
- 3,825
📌Wengi wenu mumeshindwa kufahamu ni nani
📌Wengi wenu mumeshindwa kufahamu ni nani
Mtetezi wa wanyonge ndio nani?Nimepokea taarifa kuwa kuna njama za kumdhuru kwa kumuwekea sumu kwenye chakula Mtetezi wa Wanyonge, Mwenyezi Mungu ni mwemba amnusuru.
Kwa sasa siwezi kuthibitisha kwa undani kilichotokea, lakini naamini ukweli utajulikana.
Kasi yake ya kukubalika kila Kona ya nchi imewatisha, wananchi wote wenye shida imani yao iko kwa mtetezi wa wanyonge.
Mkuu Lizaboni ni yuda the man himself.Hivi wewe Stroke na funaku a.k.a jingalao hamna mnashughuli nyingine ya kufanya zaidi ya hii ya kulamba makalio ya watawala? Nakumbuka mpo toka enzi za Kikwete, akaja Magufuli na sasa Samia ila kuna walamba makalio wenzenu mliokuwa nao enzi hizo hatuwaoni. Walikuwepo wakina YEHODAYA, Lizaboni Simiyu Yetu, FaizaFoxy, Bia yetu na wengine wengi. Wote hao hawapo nahisi walishapata kazi za kuwaingizia kipato wakaachana na hii kazi ya kulamba matako ya watawala, ila ninyi bado mpo tu. Nauliza mmeshindwa kabisa kupata kazi hadi miongo zaidi ya mitatu bado mnalamba makalio tu?
Hata wewe pia hujajuaWengi wenu mumeshindwa kufahamu ni nani
Mwigulu anafanya kazi kubwa sana lazima wenzie watake kumuua
Wataua wangapi?Nimepokea taarifa kuwa kuna njama za kumdhuru kwa kumuwekea sumu kwenye chakula Mtetezi wa Wanyonge, Mwenyezi Mungu ni mwemba amnusuru.
Kwa sasa siwezi kuthibitisha kwa undani kilichotokea, lakini naamini ukweli utajulikana.
Kasi yake ya kukubalika kila Kona ya nchi imewatisha, wananchi wote wenye shida imani yao iko kwa mtetezi wa wanyonge.
LameckKwangu code ngumu hii?! Nani huyu...??
BashiteMkuu Lizaboni ni yuda the man himself.
Vipi? Wewe imeshindikana kabisa kujinasua kwenye hii kazi ya kulamba makalio watawala?Umepatia sana.
WMkKwangu code ngumu hii?! Nani huyu...??
Madelu na wanyonge wapi na wapi?Yuda na mafisadi wanataka kumpoteza Madelu
📌Madelu na wanyonge wapi na wapi?
Mwigulu Nchemba kwa ratiba yake, leo alirakiwa awe Simiyu kwa ziara. Je, hajaenda?Kudadek fyekelea mbali vichaka vyote