Mtera: Lameck John Lubote aanika unafiki wa CHADEMA

Hahahhahaaaa hayo ni maandishi tu hata kwenye khanga utayakuta, sijaona tatizo mimi
 
Hizo mbona tulishaziona hapa? ni uchafu wenu ninyi CCM, sisi hatushughuliki na sisimizi, na hatutajibu chochote!
 
Yale ya chadema kuwa chama cha udini na ukanda hajayaweka kweli? Kwa sababu sijawahi kuona anayeisema vibaya chadema akasahau kuyataja hayo mambo mawili!! Na hayo ndo huwa yanafanya hata mengine yote yanayosemwa kuwa ya kipuuzi tu. Nikimaliza mengine ya msingi labda nitasoma ili kujua na yeye katokaje.
 
Kwanini hakuyasema haya akiwa kiongozi? anakuja kuyasema baada ya kufukuzwa? Ni unafiki na uzandiki tu pamoja na njaa
 
kwani chadema katiba wanayo ili iweje mambo mengi yanafanywa kinyume cha katiba halafu hakuna wa kukemea au kwa vile wenye nafasi ya kukemea ndiyo wachafu.
 
Ukiona hivyo ujue ni ukweli mtupu.
 
Kwanini hakuyasema haya akiwa kiongozi? anakuja kuyasema baada ya kufukuzwa? Ni unafiki na uzandiki tu pamoja na njaa

ukisema ukiwa kiongozi unawindwa kumwagiwa tindikali na kupigwa jifunze kutoka kwa zitto aliyasema akiwa kiongozi nini kilimkuta halafu huyu hajafukuzwa kajiondoa mwenyewe.
 
Yale ya chadema kuwa chama cha udini na ukanda hajayaweka kweli? Kwa sababu sijawahi kuona anayeisema vibaya chadema akasahau kuyataja hayo mambo mawili!! Na hayo ndo huwa yanafanya hata mengine yote yanayosemwa kuwa ya kipuuzi tu. Nikimaliza mengine ya msingi labda nitasoma ili kujua na yeye katokaje.
Ukweli unapotaka kufanywa uonekane ni uongo dawa yake ni kuendelea kuusema mpaka jamii ikuelewe
 
Kwanini hakuyasema haya akiwa kiongozi? anakuja kuyasema baada ya kufukuzwa? Ni unafiki na uzandiki tu pamoja na njaa
Alikuwa anaogopa kuwekewa sumu kama ZITTO KABWE . Nasikia yule kijana aliyekosa uongozi ndani ya CDM ni noma kwa kuwakaanga wanaowapinga mbwana zake
 
Hahahhahaaaa hayo ni maandishi tu hata kwenye khanga utayakuta, sijaona tatizo mimi
Chadema hakuna demokrasia bana mtu akikosoa kukiukwa kwa taratibu za chama anaundiwa zengwe watu wengi wamepigwa kwa mfano mwenyekiti wa temeke,zitto kabwe na wengine kufukuzwa kibabe mfano shonza na mtela.
 
Na kuna genge kabisa la kuundia watu mizengwe ili kuwafurahisha SLAA na MBOWE , hii ni hatari sana
 
Uharo mtupu! Hatuhangaiki na majungu ya lumumba! Hivi naye kalipwa kwa huu uharo? Kweli wajinga ndio waliwao
 
kwani chadema katiba wanayo ili iweje mambo mengi yanafanywa kinyume cha katiba halafu hakuna wa kukemea au kwa vile wenye nafasi ya kukemea ndiyo wachafu.

Hivi na ile report ya CAG kuhusu ile APTL nani anatakiwa awawakemee wahusika?
 
Uharo mtupu! Hatuhangaiki na majungu ya lumumba! Hivi naye kalipwa kwa huu uharo? Kweli wajinga ndio waliwao

CHADEMA muwe makini msidhani watanzania ni wajinga kiasi hicho watu wanaona na kusikia , subirini 2015 mtakula vumbi lenu tatizo mnadhani ni mali ya mtu binafsi hicho chama , mnajidai kujificha nyuma ya UKAWA eti utawasaidia kuwakingana na matatizo mliyonayo mtayaona. Watu wamewajua vizuri sana tabia zenu wanaawangalia .
 
Nimeongea na bwana lubote huyu tapeli kabaki anajikanyaga tu bila pointi ya msingi nitawawekea screen shorts za namna alivyojikanyaga
 
Back
Top Bottom