tethering
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 331
- 139
Huyu jamaa na mwenzake amesema mwenyewe kuwa wameamua kukipa talaka chama cha chadema jana na kukisusa kwan kinaendeshwa kama kampuni binafsi kwan wamekuwa hawashirikishwi katika maamzi,wanashangaa chadema kususa bunge la katiba wakati hiyo ilikuwa ni ajenda yao 2010 kwenye ilani.
source: tbc television
source: tbc television
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hivi ndivyo ambavyo Aliyekuwa Katibu wa CHADEMA Jimbo la MTERA , Lameck John Luboke alivyokianika chama chake cha CHADEMA