masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,823
- 16,893
Kupeleka watu nje kufanya kazi ilikuwa nia njema kabisa kwasababu Tanzania hakuna ajira tena, na hata hizo ajira ambazo zingefanywa na watanzania wenyewe kama upishi, ulinzi n.k; sasa zinafanywa na wageni.
Hata hivyo, hili la watu kwenda kufanya kazi katika mazingira ya utumwa, ni kashfa kubwa kwa wahusika akiwemo Mhe. Mtemvu mwenyewe.
Hii ndio hasara ya kuwakwepa washauri wa maana na kukimbilia kuwa na wasaidizi wanaofanya kazi kwa misingi ya udini, ukanda na ukabila.
yes tuseme HAPANA SASA YATOSHA