bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 8,094
- 7,840
Kifupi;kufanya kazi kwa mwarabu ni kajehanamu kadogo!!!!
hata kwa nyinyi watanzania limbukeni ni yayo bin yayo.
Si tunaona kwenye vyombo vya habari jinsi munavyowatesa wafanyakazi wenu wa ndani? Tena yule mmoja aliyeonyeshwa alikuwa ni mwanasheria kabisa.
Kazi kunyooshea vidole wenzenu tu na kwenu yako kwa wingi.