Mtemvu na biashara ya Utumwa Dubai

Mtemvu na biashara ya Utumwa Dubai

HNIC

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Posts
1,898
Reaction score
2,199
Hivi hii scandal ya watanzania kuteswa na kufanywa watumwa Dibai mbona kimya kimezidi toka wizara ya kazi, mambo ya nje, balozi na zaidi Mbunge bwana Mtemvu na kampuni yake hii ya watumwa?
 
Fafanua!

Hivi hii scandal ya
watanzania kuteswa na kufanywa watumwa Dibai mbona kimya kimezidi toka
wizara ya kazi, mambo ya nje, balozi na zaidi Mbunge bwana Mtemvu na
kampuni yake hii ya watumwa?
 
Kama kitu huna uhakika nacho usiropoke anapeleka dubai sio watumwa ni watu wanaokwenda kupata ajira tena mfanyakazi wa ndani hulipwa hadi laki mbili sio kweli ndugu zetu hawa wakifika dubai hujisahau na kuanza kutembea na baba wenye nyumba ni uongo wanaousambaza kuna watu wanatumia fursa hiyo ya mtemvu kuwadanganya ndugu zetu ubalozi upo na unafwata haki zote za wafanyakazi wa ndani usikubali kupelekwa kama hujapata karatasi za mkataba zilizosainiwa na balozi
 
Wewe funga domo lako kama hujui kitu, jiulize kwa nini Kenya wamefuta usajili wa kampuni zote za kupeleka watumwa Uarabuni?

Kwanza wewe inaonekana ni nyumba ndogo ya Mtemvu au karani wake, utapeli tumeshaujuwa kaa mkao wa kula jiandae kuangalia ITV kipindi cha report maalum uone video za wahanga wa manyanyaso ya waarabu.

Kama unaona kuna maslahi peleka tigo yako Uarabuni wakaibomoe.
 
Mkuu una nini??
wakenya walifukuzwa UAE wakati wa kibaki....

Walichanganyikiwa kwa hilo mpaka kibaki akaomba msamaha
http://diasporamessenger.com/dubai-employment-visas-for-kenyans-still-an-issue/
 
Kama kitu huna uhakika nacho usiropoke anapeleka dubai sio watumwa ni watu wanaokwenda kupata ajira tena mfanyakazi wa ndani hulipwa hadi laki mbili sio kweli ndugu zetu hawa wakifika dubai hujisahau na kuanza kutembea na baba wenye nyumba ni uongo wanaousambaza kuna watu wanatumia fursa hiyo ya mtemvu kuwadanganya ndugu zetu ubalozi upo na unafwata haki zote za wafanyakazi wa ndani usikubali kupelekwa kama hujapata karatasi za mkataba zilizosainiwa na balozi

Inasemekana hadi pasi za kusafiria wanapokwa we unasema ubalozi unahusika???!!!
Ubalozi unabariki mtu kufanyiwa hilo????

Hebu tafuta uzi wa hii issue mmoja upo humu kaweke hoja zako kule twende sawa!!!
Yanapokuja masuala mazito jamani tusimamie utu sio nasaba na wahusika.
 
Acheni mambo ya kusikia "tende ndio udongo wa arabuni" Kwanini wanawake wa kifilipino wanafundishwa mafunzo ya karate kabla ya kwenda Arabuni. Huyo mpuuzi anaysema Ubalozi unasaidi watanzania, lini na wapi? Kuna madada wa kibongo walipelekwa kusoma India, Russia, Ukraine nk, Balozi zimewatelekeza nawengi wao ni machangudoa. Balozi za Tanzania nje zipo kwa kumpokea JK na mawaziri wake
 
muanzisha post bila shaka ana lake jambo na mtemvu, anaonekana anasikiliza maneno ya kijiweni na kuyaleta hapa. Lete uthibitisho wa mtu mmoja tu aliyepelekwa huko na kampuni ya Mtemvu na akapatwa na hayo unayoyasema, vinginevyo una wivu wa kike.
 
Upo uzi humu una majina mpaka pasi namba, majina ya waliosaini nyaraka na maelezo ya huyo ajenti aliyempeleka!!
Hebu usome ule uzi kwanza
 
Nilisshangaa niliposikia akiitetea hiyo kampuni yake ya kuuza watumwa tena bungeni watu wakapiga kimya tu nikajua ni yale mambo yetu ya kiswahili.....Huu ni upuuzi kwa ananchi kuuzwa utumwani uarabuni sio sifa hata kidogo
 
Waislamu wakienda hakuna tatizo maana Dubai sio ya makafir, makafir ndio hawafai. Makafir waende Ulaya na Marekani huko ndio kuna wafaa kwa kuwa kuna mfumo kristo.
 
Ni muhimu kulinda jamii kwa kudhibiti miradi au uanzishwa wa makampuni yanayoweza kusababisha udhalilishaji wa utu wa mtanzania. Kampuni kama hizi zijihusishe tu na ajira zenye heshima na kuachana na ajira zinazohusina na uwezekano wa kuwepo hisia au matendo ya kitumwa!
 
Mimi ninauzoefu na dubai naenda kutembea kwa ndugu na jamaa sijayaona hayo ila sikatai yanaweza kuwepo..Kama unavyoweza kua na mfanyakazi hapa tanzania wangapi wanawatesa mpaka kuwatia vilema watoto wa watu so the same as dubai unaweza kua na bahati mbaya ukaenda kufanya kazi familia ya ovyo ndio hayo yanakukuta
 
Acheni mambo ya kusikia "tende ndio udongo wa arabuni" Kwanini wanawake wa kifilipino wanafundishwa mafunzo ya karate kabla ya kwenda Arabuni. Huyo mpuuzi anaysema Ubalozi unasaidi watanzania, lini na wapi? Kuna madada wa kibongo walipelekwa kusoma India, Russia, Ukraine nk, Balozi zimewatelekeza nawengi wao ni machangudoa. Balozi za Tanzania nje zipo kwa kumpokea JK na mawaziri wake

Yaah yaah apo umeongea barozi za Tanzania za kichoko sana haziwasaidi watanzania wanateseka nje ya nchi wakipeleka malalamiko zinawabeza
Ukisikia limtu linazungumza kua barozi za Tanzania zinatoa Msaada kwa watanzania basi ujue ilo jamaa nalo ni litumwa la kifikra matatizo kibao watanzania wanayapata walkway nje ya nchi lakini hamna wanchosaidiwa
Ivi angalia hapa Tanzania kwenyewe mgeni ana haki kushinda mwenyeji sasa sembuse uko
Mibalozi ya Tanzania special kuwapokea viongozi na sio matatizo ya RAIA wake
 
Ni upumbavu hasa wa makabila ya kibantu kupost watu wao huko uarabuni kwa kazi ya uyaya....cha kushangaza ni waislam tu ndio wanakubaliwa.Na tabia hii hata hapo Dar imeenea,wanaofanya kazi za dami kwa wahindi ni waislam na hawana elimu,Kwa utafiti niliyofanya mpaka mkristo anayetafuta kazi hizo aweze kudanyanya jina la kislam ndiyo apate kazi.Na shauri jamii ya ukanda wa pwanu na kati pelekeni watoto hasa wa kike shule jamani.............
 
Kama kitu huna uhakika nacho usiropoke anapeleka dubai sio watumwa ni watu wanaokwenda kupata ajira tena mfanyakazi wa ndani hulipwa hadi laki mbili sio kweli ndugu zetu hawa wakifika dubai hujisahau na kuanza kutembea na baba wenye nyumba ni uongo wanaousambaza kuna watu wanatumia fursa hiyo ya mtemvu kuwadanganya ndugu zetu ubalozi upo na unafwata haki zote za wafanyakazi wa ndani usikubali kupelekwa kama hujapata karatasi za mkataba zilizosainiwa na balozi

Unatoka hapa kwenda Dubai kufanya kazi za ndani! UYAYA! GIMME A BREAK!,utu uko wapi hapa,

Dada zetu wakifika uko ni mateso matupu,passport wananyan'ganywa,mateso kibao,vipigo,kufanyishwa kazi kwa muda mrefu,kenya imefuta leseni zote za wakala wa kutafuta ajira ughaibuni,

Huyu mtemvu,inabidi achunguzwe,hii biashara anayofanya ni HUMAN TRAFFICKING period!
 
Back
Top Bottom