Mtela Mwampamba na Juliana Shonza wapokelewa kwa shangwe Mbozi

Status
Not open for further replies.

Taswira

JF-Expert Member
Sep 23, 2012
1,198
447
Vijana wawili wa CCM wanaotajwa kuondoka CHADEMA kwa kukosa maelewano na kiongozi wa juu wa chama hicho.Muda huu wapo ndani ya ofisi za CCM wilaya hapa Vwawa huku wakiwa na msululu wa magari toka Mjini,Kyela,Tukuyu na Mbozi yenyewe.(Magari hayo niyaviongozi tu wa chama katika wilaya tajwa hizo).

baada ya muda mfupi wataondoka kuelekea Mlowo mjini alipokulia Mtela mwampamba(MOTHERLAND) kwenye mkutano mkubwa wa hadhara ambao utaongozwa na Mwigulu nchemba pia viongozi wengine wa chama wa CCM mkoa.
UPDATES
Mkutano umemalizika salama hapa Mbozi,Hakuna tatizo lolote lilotokea kama ambavyo vijana wengi wakeshaji mitandaoni tunavyodhania kuwa maneno ndio vitendo.
Mtela mwampamba amepokewa vizuri sana na wana mbozi,Kimsingi amewaeleza namna alivyoondoka chadema,Udhaifu wa chadema,Ujuha unaofanywa na dr.slaa ndani ya chadema.Pia amewaomba ushirikiano wana mbozi katika kukipa nafasi chama cha mapinduzi kiendelee kuongoza mbeya na hata taifa kwa ujumla.
Mtela mwampamba pia amemshukia Dr.slaa kwa kusema asahau kabisa kupata kura ndani ya jimbo la Mbozi"Hili ni poli nililofyeka mimi,najua wapi nianzie wpai nimalizie,Huyo dr.slaa na mchumba wake wanakesha kuota namna ya kutumia poli nililofyeka mimi.Hizi ni ndoto za mtoto mchanga katu hazina madhara"
Nimeondoka chadema kwa kufukuzwa na chama,Nimefukuzwa kwasababu nilikuwa mwadilifu,mhojaji na mkosoaji kwa viongozi wachama namna ruzuku inavyoliwa na watu wachache ilihali kuna wilaya na mikoa chama hakijapeleka hata bendera.kwa hiyo kosa langu lilikuwa ni kuhoji mamilioni anayojikopesha dr.slaa ruzuku ya chama,Kosa langu lilikuwa kuhoji kwanini chama hakina ofisi ya kudumu?kosa langu lilikuwa kuhoji ruzuku ya chama inayovushwa kwenda dubai kununu nyumba za wakuu wa chama?kosa langu lilikuwa kupinga ukabila na ukanda ndani ya chama hasa kwenye ugawaji wa vyeo na majukumu ya kikazi.
Hivi wanambozi naomba mniambie kwanini HAI kuna wabunge watatu wa chadema jimbo moja?SIRI yake ni mimba tunazoziona leo.
Wanambozi jiulizeni mamilioni ya ruzuku ya chadema na yale ya sabodo mbona hatuoni hata kiwanja cha ofisi ya chadema?hadi leo wananishi nyumba ya kupanga.
Tutawapa nchi wakimbiziiiiiiiiiiii???hiki sio chama ni kundi la wahuni.
Nimeamua kujiuna CCM kwa hiali yangu,Nitajitolea kuitumikia CCM na nchi yangu kwa nguvu zote.Mwisho wa CHADEMA mefika,MUNGU AZILAZE ROHO mahali pema za wote waliokufa kwa maandamano ya maksudi ya CHADEMA ili watimize malengo yao tunayoyasikia sasa.

JULIANA SHONZA amewataka vijana hasa akina mama kutoruhusu vijana kukiunga mkono chama chenye element z aumwagaji damu.Kuisapoti chadema ni sawa na kusapoti uvunjifu wa amani ndani ya taifa letu.Juliana ameenda mbali kwa kusema CCM wanajali misingi ya usawa hawana ubaguzi wa kikabila wala kikanda kama chadema ilivyo.Hivyo basi ni jukumu la kila mtanzani kuachana na siasa za kinafiki za chadema kwa sbabau lengo lao ni kuzalisha fedha za ruzuku waendelee kula na sio kuwaletea maendeleo wananchi.
Juliana amesisitiza hatoteteleka kwa vitisho vyovyote vile,anaijua CHADEMA kwa kila kitu.Alifanya kosa kubwa sana kupoteza nguvu na jasho lake kukitumikia chama chenye mlengo wa kikabila na ukanda.
Nimejiunga CCM kwa akili zangu bila kushinikizwa na mtu.Naomba wanambozi tushirikiane kukijenga chama,Tuachane na siasa za maji taka za hawa CHADEMA.

Vilevile mwenyekiti wa CCM wilaya aliwapokea vijana hao kwa kusema CCM ni chama dume CCM ndio baba na mama wa maendeleo ya watanzania.mwampamba ni kijana wetu tutamlea na kumkuza katika maadili mema.

Muda huu nyumbani nilikozaliwa mlowo mbozi mbeya.

HII NDIO CCM!

Hebu sema neno hapa Comrade Mwigulu Nchemba akiongea na wana Mlowo-Mbozi kwenye Mkutano wa Hadhara!

Hawa vijana ni sumu kali kwa CHADEMA, Dr Slaa inabidi awaombe msamaha tu ili yaishe, kwani wana siri nyingi za CHADEMA na wana ichakaza kwelikweli.
 
Acha uongo wako wako tangu saa 11 asubuhi leo watu walikua wakikusanywa na wengine kutoka Iringa kupelekwa Mbozi kupitia viongozi wa kata na wilaya

CCM kupitia naibu katibu mkuu na mwenyekiti wa mkoa ndiyo walioshinikiza kila kata kutoa idadi itakayopelekwa Mbozi ili kujenga taswira ya kisiasa.Mbinu za kishamba kweli kweli
 
ha ha ha wana ganga njaa na upeo wao ni mdogo sana kama ni wasomi alafu wameshindwa kusoma alama za nyakati kuwa ccm inakufa na wao wamekwenda panda gari bovu....ambao alina hata brake.
 
Tuondolee upuuzi wako,hi sred haikuhusu!

Ha ha ww ndo chizi kweli ina maana aiwahusu wanaoimpiga ccm? na kama ni hivyo umeiweka ya nn hapa? Acha uchizi wako tena ondoa upuuzi wako hapa...ebu ben zidi kuwachana na wajue kuwa tumefahamu ni posho kiasi gani wametoa
 
Tuondolee upuuzi wako,hi sred haikuhusu!

kha kha khaaaa.... Mwanchekesha, afu eti mleta mada anasema waliondoka CHADEMA, walifukuzwa , sheenzy, na ninavyowafahamu wana Mbozi,imekula kwao, wekeni picha hapa tuwacheke
 
Acha uongo wako wako tangu saa 11 asubuhi leo watu walikua wakikusanywa na wengine kutoka Iringa kupelekwa Mbozi kupitia viongozi wa kata na wilaya

CCM kupitia naibu katibu mkuu na mwenyekiti wa mkoa ndiyo walioshinikiza kila kata kutoa idadi itakayopelekwa Mbozi ili kujenga taswira ya kisiasa.Mbinu za kishamba kweli kweli

inakuuma ile mbaya wenzako wawepata shavu wewe upo kwenye chama kwa ajili ya majungu tupu.
 
Hawa vijana ni sumu kali kwa CHADEMA, Dr Slaa inabidi awaombe msamaha tu ili yaishe, kwani wana siri nyingi za CHADEMA na wana ichakaza kwelikweli.

Hawa watu nimeanza kuwasikia hapa jamvini tangu waenguliwe kutoka CHADEMA. Hapo awali kuanzia chama kilivyoanzishwa nilikuwa sijawasikia pamoja na kwamba nimekuwa nikufuatilia siasa za Tz kwa ukaribu sana. Hii inaamanisha kwamba umuhimu wao CDM haukuwa mkubwa hivyo, na umuhimu huo ambao wanapewa na ccm ni kiashiria halisi kwa Watanzania kuwa ni jinsi gani CDM inakipeleka mbio ccm kiasi cha kuwaona hao vijana kuwa mtaji wao mkubwa wa kufanyia propaganda. Ni siri gani kubwa ambayo hao waliotimuliwa chama wanazo? Sidhani kama wana siri yeyote ile, na Watanzania wanalijua hilo.
 
Acha uongo wako wako tangu saa 11 asubuhi leo watu walikua wakikusanywa na wengine kutoka Iringa kupelekwa Mbozi kupitia viongozi wa kata na wilaya

CCM kupitia naibu katibu mkuu na mwenyekiti wa mkoa ndiyo walioshinikiza kila kata kutoa idadi itakayopelekwa Mbozi ili kujenga taswira ya kisiasa.Mbinu za kishamba kweli kweli

Kwa kuongezea mie nipo mbozi,vwawa hapa Hekima Hotel tunamuadhibu kinana ili kumalizia weekend,nimesikia vijana wa mlowo wanasema kwa kuwa msaliti wetu amekuja ngoja tumuonyeshe kuwa tunaposema tunataka mabadiriko tunamaanisha,Onyo watu wanataka kujua ni kwanini uliuza ubunge bila majibu hayo kazi itakuwa pevu kwel!!
 
Vijana wawili wa CCM wanaotajwa kuondoka CHADEMA kwa kukosa maelewano na kiongozi wa juu wa chama hicho.Muda huu wapo ndani ya ofisi za CCM wilaya hapa Vwawa huku wakiwa na msululu wa magari toka Mjini,Kyela,Tukuyu na Mbozi yenyewe.(Magari hayo niyaviongozi tu wa chama katika wilaya tajwa hizo).
baada ya muda mfupi wataondoka kuelekea Mlowo mjini alipokulia Mtela mwampamba(MOTHERLAND) kwenye mkutano mkubwa wa hadhara ambao utaongozwa na Mwigulu nchemba pia viongozi wengine wa chama wa CCM mkoa.
Ni kwa mara ya kwanza tangu Mtela mwampamba na Juliana shonza waondoke chadema wanafika Mbozi(nyumbani kwao).
Toka asubuhi hapa Mbozi(mjini) panaonekana kuwa na shamrashara za CCM kuashiria uwepo wa mkutano mkubwa sana ndani ya wilaya ya Mbozi.
wananchi wameshajaa eneo hili wakitokea vijiji vya jirani kama Itaka n.k
Taarifa zaidi zitawjaia hivi punde baada ya huu msafara kuondoka hapa Vwawa kwenye kikao cha muda cha viongozi wa CCM wilaya na ugeni huu.
Nimejaribu kumpigia simu Mtela mwampamba ameishia kunitumia ujumbe huu mfupi "nimetingwa,naomba tukutane kwenye mkutano ninavyowajibu wana mbozi maswali yao na ninavyoanika CHADEMA na uchafu wao".
NI hayo tu kwa sasa.

Is this news ? Yaani hawa wasaliti wa watanzania watu wasio hata uongozi wowote wala impact kwa maendeleo ila wasaidia wizi Tanzania wana jadiliwa hapa ? Mods remove this ---- please
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom