Mtela Mwampamba jipime!

Yaani huyo lizaboni kwa akili aliyokuwa akiitumia kukanusha kila comment ndio alotegemea uongozi basi taifa hili kupiga hatua tusahau kwa viongozi dizaini ya LIZABONI
 
Kijana Mtela Mwampamba na masalia wenzake baada ya kufurushwa CHADEMA kwa makosa ya usaliti alijiunga na CCM na kujifanya yeye ni kada kuliko makada aliowakuta huko.!

Kazi yake kubwa aliyopewa huko ikawa ni kutokana,kukashifu,kuchafua na kufanya propaganda na siasa za maji taka dhidi ya CHADEMA na viongozi wake kwa ahadi ya kupewa ukuu wa wilaya.

Leo Rais ameteua wakuu wapya wa wilaya jina lake halipo wakati vijana wenzake aliowaacha Bavicha akina John Heche.Upendio Peneza,Peter Lijualikali,Mwakajoka leo ni wabunge na wengine wengi ni madiwani.

Ni wakati wake wa kujipima kama aendelee kutumika kama ile karatasi laini ya chooni au atubu na kurudi kwenye jeshi la ukombozi.CCM ina wenyewe na yeye si mmojawapo!
Ameanzisha jukwaa la wakereketwa wa ccm
 
Nimecheeka sana Lizaboni kwenye ule uzi wenye orodha
Anakaa kuuliza tu list nyingine iko wapi, list nyingine iko wapi?

Ah hahahahaaaa nadhani kwa mapambano haya ndani ya jf alikuwa na uhakika
Lizaboni na mulongo siku ya jana hawatakaa waisahau maishani mwao
 
Nasikia Magufuli akishakabidhiwa chama anafunga ofisi ya Lumumba kazi zote za chama zitafanyikia Dodoma kubana matumizi.Hapo ndipo kuta kuwa na kilio cha kusaga meno na kuisoma namba kwa wale vijana wa buku saba!
Mkuu leo hii lizaboni kasema yeye analipwa zaidi ya wenzake zaidi ya buku 7
 
Mtela Mwampamba a.k.a Ganzi usikate tamaa,endelea kufanya harakati kama kawaida,chama kinakuangalia na kuna siku mambo yatakua mazuri.
 
Back
Top Bottom