Mkutano wa Kampeni za Udiwani wa CCM wilayani Mbulu zimeingia dosari baada ya wananchi kuwazomea kwa nguvu.
Zomeazomea hiyo ilianza tangu mwanzo lakini hali ilikuwa mbaya zaidi alipopanda Kada wa CCM aliyefukuzwa CHADEMA Mtela Mwampamba ambapo badala ya kutoa sera alianza kuwaporomoshea matusi ya nguoni CHADEMA na viongozi wake.Hali hiyo ililazimisha wananchi kupiga makelele na kumshusha kwa nguvu jukwaani kitendo alichotii Mwampamba kuepusha ghasia zaidi.
Mkutano huo ulikuwa unaongozwa na Naibu Katibu Mkuu CCM Mwigulu Nchemba ambaye hata hivyo kwa kusoma upepo alishindwa kutoa matusi kwa CHADEMA kama ilivyo kawaida yake.
Nchemba alifuatana na kijana aliyemwagiwa tindikali Igunga na kusema ni kazi iliyofanywa na CHADEMA.Pia alidai yeye ndiye aliyeletewa Mkanda anaodai ni wa Ugaidi wa Lwakatare.
Kwa ujumla kulikuwa na watu wengi uwanjani lakini hata hivyo zaidi ya robo tatu ilikuja kuonekana ni wafuasi wa CHADEMA kutokana na mwitikio wao hali iliyomlazimu Mwigulu kushindwa kutumia Salaam ya CCM Hoyeee...badala yake ikabidi mara zote aseme Mbulu Hoyeee...!!!
Hii imekaa safi, mimi nadhan sisi tuendelee kueneza elimu tuwaache wao wawe wanatumia majukwaa haya kutukana na kuongea utumbo. Wananchi ni majudge wazuri tu, wanafahamu zipi pumba na upi mchele. Mwisho wa siku watabaini tu kuwa kumbe wahuni ni CCM na sio CHADEMA.Mkutano wa Kampeni za Udiwani wa CCM wilayani Mbulu zimeingia dosari baada ya wananchi kuwazomea kwa nguvu.
Zomeazomea hiyo ilianza tangu mwanzo lakini hali ilikuwa mbaya zaidi alipopanda Kada wa CCM aliyefukuzwa CHADEMA Mtela Mwampamba ambapo badala ya kutoa sera alianza kuwaporomoshea matusi ya nguoni CHADEMA na viongozi wake.Hali hiyo ililazimisha wananchi kupiga makelele na kumshusha kwa nguvu jukwaani kitendo alichotii Mwampamba kuepusha ghasia zaidi.
Mkutano huo ulikuwa unaongozwa na Naibu Katibu Mkuu CCM Mwigulu Nchemba ambaye hata hivyo kwa kusoma upepo alishindwa kutoa matusi kwa CHADEMA kama ilivyo kawaida yake.
Nchemba alifuatana na kijana aliyemwagiwa tindikali Igunga na kusema ni kazi iliyofanywa na CHADEMA.Pia alidai yeye ndiye aliyeletewa Mkanda anaodai ni wa Ugaidi wa Lwakatare.
Kwa ujumla kulikuwa na watu wengi uwanjani lakini hata hivyo zaidi ya robo tatu ilikuja kuonekana ni wafuasi wa CHADEMA kutokana na mwitikio wao hali iliyomlazimu Mwigulu kushindwa kutumia Salaam ya CCM Hoyeee...badala yake ikabidi mara zote aseme Mbulu Hoyeee...!!!
acha matusi wewe ccm mbulu ilishazikwa 2010Pumba 2pu hao wahuni wachache mliotuma hapo ndio mnadhani uwanja umejaa cdm?
Mkutano wa Kampeni za Udiwani wa CCM wilayani Mbulu zimeingia dosari baada ya wananchi kuwazomea kwa nguvu.
Zomeazomea hiyo ilianza tangu mwanzo lakini hali ilikuwa mbaya zaidi alipopanda Kada wa CCM aliyefukuzwa CHADEMA Mtela Mwampamba ambapo badala ya kutoa sera alianza kuwaporomoshea matusi ya nguoni CHADEMA na viongozi wake.Hali hiyo ililazimisha wananchi kupiga makelele na kumshusha kwa nguvu jukwaani kitendo alichotii Mwampamba kuepusha ghasia zaidi.
Mkutano huo ulikuwa unaongozwa na Naibu Katibu Mkuu CCM Mwigulu Nchemba ambaye hata hivyo kwa kusoma upepo alishindwa kutoa matusi kwa CHADEMA kama ilivyo kawaida yake.
Nchemba alifuatana na kijana aliyemwagiwa tindikali Igunga na kusema ni kazi iliyofanywa na CHADEMA.Pia alidai yeye ndiye aliyeletewa Mkanda anaodai ni wa Ugaidi wa Lwakatare.
Kwa ujumla kulikuwa na watu wengi uwanjani lakini hata hivyo zaidi ya robo tatu ilikuja kuonekana ni wafuasi wa CHADEMA kutokana na mwitikio wao hali iliyomlazimu Mwigulu kushindwa kutumia Salaam ya CCM Hoyeee...badala yake ikabidi mara zote aseme Mbulu Hoyeee...!!!
Hahahahahahahahaahahahhaaaha Molemo naona unaripoti habari za Mtela.
Hahahahahahahahahahahaha hivi kwei mtu unaweza kutoa ripoti ya habari za mtu ambaye hana manufaa?
Hhahahaahahahahahahahahahahahahahaa huyu jamaa kawacharaza bakora za nanihii kule Iramba.
Hahahahahahahahahahahahahahahahaha
Mkutano wa Kampeni za Udiwani wa CCM wilayani Mbulu zimeingia dosari baada ya wananchi kuwazomea kwa nguvu.
Zomeazomea hiyo ilianza tangu mwanzo lakini hali ilikuwa mbaya zaidi alipopanda Kada wa CCM aliyefukuzwa CHADEMA Mtela Mwampamba ambapo badala ya kutoa sera alianza kuwaporomoshea matusi ya nguoni CHADEMA na viongozi wake.Hali hiyo ililazimisha wananchi kupiga makelele na kumshusha kwa nguvu jukwaani kitendo alichotii Mwampamba kuepusha ghasia zaidi.
Mkutano huo ulikuwa unaongozwa na Naibu Katibu Mkuu CCM Mwigulu Nchemba ambaye hata hivyo kwa kusoma upepo alishindwa kutoa matusi kwa CHADEMA kama ilivyo kawaida yake.
Nchemba alifuatana na kijana aliyemwagiwa tindikali Igunga na kusema ni kazi iliyofanywa na CHADEMA.Pia alidai yeye ndiye aliyeletewa Mkanda anaodai ni wa Ugaidi wa Lwakatare.
Kwa ujumla kulikuwa na watu wengi uwanjani lakini hata hivyo zaidi ya robo tatu ilikuja kuonekana ni wafuasi wa CHADEMA kutokana na mwitikio wao hali iliyomlazimu Mwigulu kushindwa kutumia Salaam ya CCM Hoyeee...badala yake ikabidi mara zote aseme Mbulu Hoyeee...!!!
Nikisema hii taarifa ni ya udaku, nitakuwa nimesema uongo?
Pumba 2pu hao wahuni wachache mliotuma hapo ndio mnadhani uwanja umejaa cdm?
Wa Mbulu mutujuze,maswala ya kusikiliza upande mmoja noma.
ZeMarcopolo ee, kicheko hichi hakiwezi kuwa bure. hujatoka glosari wewe? ha ha ha ha.....